Mpinzani Aliyebakia: John J. Mnyika… Wengine Watabakia?

Mpinzani Aliyebakia: John J. Mnyika… Wengine Watabakia?

Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.

Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...


Kazi kwelikweli
Amini katika itikadi, usimuamini mtu
 
They couldn't stand the heat hahaha. Binafsi ninaamini binadamu anaweza kubadilika. Huenda na hao wengine walikua wapinzani wakweli tu ila walibadilisha misimamo kwasababu mbali mbali (za kifisadi au kwa nia njema). The real tragedy is our government actually spends our tax money to buy these politicians and bribe them with public offices after they have betrayed their voters.
 
Hapana Mnyika ni mseminari hawezi kugeuka. Yaani hata lile sakata la lowassa hakuhama bali alisusa tu. So atakua mtu wa mwisho kuhama, ndio maana ule uchaguzi alisimamia haki hakuweka uchawa au kumlinda Mbowe.
'Useminari' siyo hoja. William Slaa alikuwa ni zaidi ya useminari! Ipo mifano mingi tu ya aina hiyo.
 
Hii Chadema ya wakati huu hakuna mamluki au mchumia tumbo atabaki! Kwa sababu mirija yote imekata! Ruzuku wamesitishiwa kwa hila ya Wazanzibari! Kwa hiyo watapukutika wote, na wataokaobaki watakuwa ni washindani wa kweli.

Natamani pia kuona siku moja Halima Mdee anarejeshwa kwenye chama! Pamoja na mapungufu ya kulazimisha kwenda bungeni, lakini bado amejitahidi kubakia kwenye mstari.
Chama kitakuwa kimejisafisha vyema kabisa.
 
Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.

Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...

Kazi kwelikweli
Naunga mkono hoja, namkubali sana JJ Mnyika, tena nilianza nae mbali Thread 'Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe' GE2010 - Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe

Ile siku nimeipata hii nondo Thread 'Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!' Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi,

Baada ya kuipokea hii document, nilifanya personal initiative ya kuifungia safari hadi Bungeni Dodoma, nikaikabidi kwa baadhi ya wabunge, akiwemo Mwenyekiti wa POC, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na Waziri Kivuli wa Madini, Mhe. JJ Mnyika, hebu tusikilizie if anything will be done about this, vinginevyo ni Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe, na wanaofanya tuibiwe ni hawa wenzetu tuliowaamini na kuwakabidhi nchi yetu hii!.

Sijui ni nani aliyetuloga!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Hiki ni kichwa mbaya Thread 'J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake' J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

Post in thread 'Mnyika is the most brilliant lawmaker!' Mnyika is the most brilliant lawmaker!

Thread 'JJ Mnyika Achachamalia Maji!. Atoa Siku 3 Kwa Waziri, DAWASA na DAWASCO Kujieleza!, Vinginevyo!.' JJ Mnyika Achachamalia Maji!. Atoa Siku 3 Kwa Waziri, DAWASA na DAWASCO Kujieleza!, Vinginevyo!.

P
 
Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%

Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Toka alivyokuwa Mbunge kwa Mara ya kwanza
Alikuwa akifika Bungeni Ni Kama anapigania Chama akawasahau Raia wa jimboni kwake Ngwe iliyofuata huyoo kibamba nkaona huyu sio kabisa.
 
Hata sisi wanaCCM tunamkubali sana Mnyika. Hakika Mbowe alifanya kazi kubwa kumtengeneza Mnyika. Sifa kuu ya Mnyika ni utiifu na nidhamu. Nchi itamkumbuka kwa ushujaa wake wa kusaini barua ya wabunge viti maalum CHADEMA (covid19) mwaka 2020.
 
Hapana. JJ Mnyika ni mtu wa pekee sana. Hana tamaa ya mali wala madaraka. Hana majivuno wala kiburi. Mtu mwenye misimamo imara isiyoyumbishwa kwa ushawishi wa namna yeyote ile.

Nakumbuka enzi zile za Jiwe, alishawishiwa mno kwa ahadi kede kede ili mradi tu aunge mkono juhudi lkn wapi. Hivyo huyu Jamaa ni Mpinzani muaminifu na mkweli.
Mnyika alifanya kazi nzuri sana kuwasainia Covid19 ile barua yao. Atakumbukwa daima kwa ushujaa wake.
 
Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.

Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...


Kazi kwelikweli
CCM washaona safari yao ya kuendelea kubaki madarakani imeshafika mwisho. Wanachokifanya CCM hakitadilisha matokeo ya mabadiliko yanatotakiwa nchini na wananchi #no reform no election. Hata wakiwakamata viongozi wote wa chadema bila sababu za kimsingi wakidhani italeta hofu na tahararuki kwa wananchi iliwasiandamane hiyo Oct 29.
 

Attachments

  • BADO TUNASHUGHULISHWA NA MATUNDU YA VYOO NI SHIDA KWA MIAKA YOTE SIJUI TUMEROGWA NA NANI_.mp4
    5.7 MB
Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.

Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...


Kazi kwelikweli
huelewi maaana ya siasa ndo maaana, hata lowasa alishatinga chadema na akarudi na maisha yakaendelea! hizo mnazofanya sio siasa bali ni chuki, mtu akienda ccm mnamuona kama msaliti
 
Kama hadi leo hii huamini upinzani wa Tundu Lissu, na kudhani yupo yupo tu kuhadaa watu, wewe utakuwa ni mtu wa utani mwingi sana wa kusikitisha.
Hata John Heche simtilii mashaka katika upinzani wa sasa.
Usiwaamini sana chief. Dunia hii mambo mengi
 
Nadhani issue hapa ni hela zinazotumika kuwanunua hawa watu…

Na hii michezo muasisi wake alikuwa Magufuli…
 
Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.

Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...


Kazi kwelikweli
Umemsahau Freeman Mbowe
 
Back
Top Bottom