The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,689
- 9,991
Sema huyu Lissu sio wa kupanga naye dili lolote maana lazima ataweka kila kitu hadharani. Kwenye stori yake kuhusu Abdul alinichekesha sana aliposema kwamwambia Abdul akamwambie mama yake amlipe stahiki zake.
Si bora hyo.
Kuna ile wakati anahojiwa na Odemba kuhusu Dr. Slaa na Kususa Ujio wa Lowasa.
Akasema Mshenga wa kumleta Lowasa Chadema alikua Gwajima 🤣