Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,829
- 5,269
Watu kama Sugu, Boniface Jacob, Maranja Masese, huwa nawatilia shaka siku zote. Wameamua kukaza tu uchaguzi upite, ila wako mbali na Chadema.
Hatua zao ni kama za Zitto, utawaona mitandaoni zaidi kuliko field. Baada ya Mbowe kufurushwa mamluki wengi wanajitahidi kuficha rangi zao ila mda utawaumbua.