Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Ok braza thanks for the lightKwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako