Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Ok braza thanks for the light
 
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Afu nauliza hii mitandao mwingine haina huduma kama hii?
 
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Unaweza kupokea au ni kutuma tu..?
 
Umefikia 75% ya matumizi ya kifurushi cha intaneti nayo ni sawa na 225MB, umebaki na 75MB. Piga *149*01# kununua kifurushi kingine.

Kifurush hiki ni cha MB 800 but et MB 225 ni 75% ya kifurush. Hii ni nini jaman?
 
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Asee hii visa card makato yake yakoje?? Mfano nanunua bidhaa ya $10 hapo wanakata sh ngap? Je wanakata kwa asilimia au? Haya makampuni Yana hidden fees za ovyo ovyo saana!
 
Sio kweli hao uzoefu hawana .Pesa ikiondoka haiwezi elea angani.Ukiona salio limepungua hiyo ilishatoka na kutua ardhini inatakiwa uidai toka ilikotua Sio Vodacom

Halafu Vodacom haiwahusu wenye mtandao wa Master card Ndio waweza just what happened

Mleta mada wasiliana na Master card wenyewe

Usiwe na maneno mengi andika tarehe hii hapa nilifanya malipo kwa kampuni hi hapa kwa kutumia master card yenu namba hii.Hela wanasema hazikufika wakati kwenye card yangu namba hii hii hell kwangu ziliondoka .Watakusaidia chap chap.Nenda website ya master card.Ila andika kifupi Sio Hadith ndefu go direct to the point.Sababu hizo customer care zao huwa busy kuliko kawaida be short and clear usiandike hotuba

Kuhusu kuandika kwa hicho Cha kuchafua Vodacom kila eneo kwa kitu usichpjua kwa uhakika waweza ishia jela na kudaiwa mabilioni kwa kuchafua kampuni
Dai Hali yako kwa adabu na heshima na usijifanye una uhakika Sana kuwa tatizo liko Vodacom!! Pesa uruhusu wewe ziondoke Halafu. Uwakomalie Vodacom

Sema wao Wana huruma ningekuwa Mimi ndio MD saa hii ungekuwa unakiona Cha mtema kuni mahakamani
Wewe ndo umeongea kitu cha maana mkuu mimi mwenyewe yalinikuta kama haya lakini niliona miachane nayo yu sababu jazba zangu zaweza niponza
 
MREJESHO (sikuwapa kwa muda mrefu)
- baada ya bandiko Hili kuliweka mitandao mbalimbali usiku,
Asubuhi nilivyoamka nikapigiwa simu na manager (wa high level) akiomba msamaha kwa yaliyotokea na akasema tayari wameshairejesha pesa yangu yote kwenye simu yangu
- nikamwambia sawa, ila mmenipotezea muda wangu na kunipa hasara maana nilikuwa nimeteka kulipia Tshs. 471,016.73 kununua software fulani huko ulaya ili niitumie kwajili ya kurun membership site ambayo tayari nilikuwa nimeshafanya maandalizi tayari... So mmenipa hasara kwa kunikwamisha, so nahitaji fidia.
Akajibu kuwa
Wenyewe walikuwa hawafikiria hilo swala la fidia,
So
Kama nimewaza hivyo basi niandike barua official kwajili ya swala langu la fidia.

  • nikacheki salio na Kweli nikaona wameirudisha...
  • nikaandika barua mwenyewe na kuiwasilisha kwao...
Then
Nikajibiwa kuwa wao "ni kama hawahusiki" ktk swala la hasara na fidia... ila kama mteja wao wanaweza niwekea kiasi sawa cha Tshs. 471,016.73 kama just pole tuu (ila sio fidia).
So
Kwangu nilikataa nikaona ni kunikosea heshima na adabu kama binadamu na mteja.
Na pia wao kama kampuni wanakimbia uwajibikaji Kwa kusema wao hawahusiki problem iliyotikea, yaani Kwa lugha nyingine hawawajibiki ktk hilo swala.

- kitu kingine kilichotokea, baada ya kuanza kudai fidia... Muda Si mrefu wakabadilisha terms and conditions za huduma za malipo [ambapo walituma SMS nadhani kwa wateja wote, including nami ilifika]... (Why, walifanya hivyo... Kwamba kuna kitu waliona hakipo sawa kwa zile za awali ambazo mimi muamala wangu ulizitumia hizo za awali)

- baada ya kukataa hiyo 'ofa' ya pole... Nikaona niangalie wanasheria... Sasa kuna Ndugu yangu nikamshirikisha ... in short baada ya kumwachia hilo swala... sasa Ndugu naye hakuweka priority...
Mwenyewe Hasira zangu zikapungua baada ya muda...
So
Swala likapotea hewani hivyo.

ILA LEO NI BAADA YA MIAKA 3!

Kwa ufupi
  • Waliharibu kabisa uhusiano nami kama mteja... Mpaka leo siwakubali... Unajua ukiona mteja hakukubali, mfanyabiashara mzuri ataakaa chini na kujitafakari.... Maana mteja ndio anayekupa fedha, so kama humthamini au kufanya namna uwe na uhusiano mzuri na mteja basi biashara yako haitafikia kiwango kizuri.
  • walifeli kurudisha uhusiano na mteja hata baada ya kupata fursa hiyo maana walikana kuwajibika na Hilo lkn hawakuchua hatua zaidi kurudisha uhusiano huo... Inawezekana pia pesa walirudisha Kwasababu tuu ya presha ya mtandaoni, ila sio kwa kutegemea mfumo na utaratibu wa Ndani wa kampuni ktk kutatua kero za wateja Mmoja Mmoja!
  • Kama wafanyakazi wadogo wadogo waliweza nitreat vile... Ina maana mfumo wa kampuni ndio upo vile? Mtoto wa nyoka ni nyoka? Ina maana mfumo wa kampuni hauwezi kuhakikisha watendaji wake hadi hawa wa chini kuwa na huduma cha kumridhisha mteja? Kwanini wa chini wapo hivyo? Wa juu?
  • Mtandao ninaoutimia sasa ni Tigo (sio kwamba hawana shida, but for me sijakutana na kero kubwa kama hii)... Voda natumia mara chache and I don't give priority to it, ila pale tuu ambapo sina namna, but transaction zangu na miamala online natumia haswa Tigo sometimes Airtel... Ukizingatia na ma gharama ya Voda and how they treated me, walishanipoteza kama mteja wao!

- Sijajua kuna raia wangapi ambao nao wanapata kero ya miamala au pesa zao kukwama na mwishoni wakakosa cha kufanya na kisha wakapotezea... Wale wamama wa vijijini au watu wasio weza kusema na kufatilia mambo Kwa nguvu!

Kuna kampuni mtu ananunua bidhaa zao sababu tu hana alternative nyingine... Ila pia kuna mtu anakwenda kununua bidhaa kampuni fulani sababu anahitaji bidhaa hiyo na pia anaipenda culture na kampuni Kwa ujumla na anajihisi ni sehemu ya kampuni kama mteja, yaani ni ambassador wa kampuni!
 
Pole mkuu, hii ilishanitokea pia. Ni muda nyuma nilifanya manunuzi na takribani sh laki 2 ilitoweka bila kueleweka imetoweka wapi. Huduma kwa wateja wanasema kuna changamoto katika mfumo wa mastercard tu bila kutoa suluhisho. Wanasema subiri masaa 48, yakaisha hakuna kitu, nilivutana nao nadhani ilirudi baada ya siku 3 au 4. Siwezi kutumia hii huduma kufanya malipo makubwa kabisa, very unreliable. Kuna muda inafanya kazi kuna muda wanapotea tu.
 
Pole mkuu... Bora wewe siku 4... Mimi mwezi mzima
 
Back
Top Bottom