Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,906
2,000
Wewe utakuwa mnufaika wa wizi huo wa voda,mimi nimeweka 1000 nijiunge,nilivyojaribu kuunga ikasema pesa haitoshi,nikacheki salio nikakuta 700/= nikaweka tena 1000,nikajaribu kujiunga ikasema salio halitoshi,nikacheki salio nikakuta ni ileile 700,nikaweka tena 1000,kujiunga ikasema tena salio halitoshi!!! Nilipocheki salio tena nikakuta 200/=tsh! Nikajaribu kupiga 100 wanieleze kulikoni,ikaishia kunipa maelezo ya bonyeza moja_2_3bila faida,sikuweza kabisa kuongea na mshauri badala yake niende facebook au whatsap,huko nako hakuna msaada wowote niliopata,nilichoamua ni kuchomoa hicho ki laini kutoka kwenye simu yangu na kukitafuna,sasa hivi nimefanikiwa kufuta matumizi ya voda kwa wanafamilia wangu wote
Vipi hako kalaini ulipokatafuna kalikuwa katamu au kachungu?
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,906
2,000
Mkuu nadhani tatizo ni kwamba umepigwa na sehemu uliyonunua hio website na pesa imewafikia ila wamekutandika. Sidhani kama vodacom wana tatizo lolote.

Siku nyingine Tumia paypal kulipia vitu online kwa kutumia kadi hii itakuwa ni kama ngao,

Hapo hakuna msaada, Ni vyema tu labda ungeweka wazi ni softwarw gani ulitaka kununua katika website ipi maana kuna wevsites kibao ambazo ni feki.

Binafsi natumia hii huduma kwa muda mrefu tu nmeagiza vitu, Kulipia software, kulipia services kama website na vitu kibao bila tatizo lolote.

Sio kila mtandao wa kulipia kwa kadi bila paypal, Hakikisha unajiunga na paypal kulipia vitu, Ukilipia kwa kadi directly ukipata hasara hio ni juu yako wewe,

Ulinunua softwarw gani kwa hio lako 4 na website ni ipi???
Umeanza kwa kumpa shombo jamaa, afu mwishoni nawe unaomba msaada kujua ni software gani alitaka kununua, kwani na wewe unataka kupigwa? Si umesema kaibiwa na hao wenye website au?
 
EliCohen

JF-Expert Member
Jun 14, 2020
290
500
Samahanini nauliza, hiv naweza nikafungua mpesa mastercard afu nikawa naitumia kufanya online purchase especially kwenye mambo ya non-physical services, kama kupurchase app fulan au kupata some other services of the same kind kama kulipia foreign number au kulipia VPN?

Dah, jamaa anaelezea alivyopigwa na hiyo Mpesa Mastercard na ww nawe unataka kujiunga huko huko
Kweli commonsense is not common
 
sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,271
2,000
Samahanini nauliza, hiv naweza nikafungua mpesa mastercard afu nikawa naitumia kufanya online purchase especially kwenye mambo ya non-physical services, kama kupurchase app fulan au kupata some other services of the same kind kama kulipia foreign number au kulipia VPN?
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
 
Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
932
1,000

Ok braza thanks for the light
 
Afu nauliza hii mitandao mwingine haina huduma kama hii?
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
20,197
2,000
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Unaweza kupokea au ni kutuma tu..?
 
Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,206
2,000
Umefikia 75% ya matumizi ya kifurushi cha intaneti nayo ni sawa na 225MB, umebaki na 75MB. Piga *149*01# kununua kifurushi kingine.

Kifurush hiki ni cha MB 800 but et MB 225 ni 75% ya kifurush. Hii ni nini jaman?
 
Tochukwu Okechukwu

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,726
2,000
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
Asee hii visa card makato yake yakoje?? Mfano nanunua bidhaa ya $10 hapo wanakata sh ngap? Je wanakata kwa asilimia au? Haya makampuni Yana hidden fees za ovyo ovyo saana!
 
The Infinity

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
793
1,000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom