Mpenzi wangu kaota nimekufa

Mpenzi wangu kaota nimekufa

Kaka kama ni kweli ameota.. katubu.. ifute hiyo ndoto kwenye ulimwengu wa roho kabla hayajatokea kwenyr ulimwengu wa mwili.
Lakin hiyo ndoto pia ina maana nyingi. Inaweza kuwa kufa kiroho, au jambo fulani kwenye maisha yako mambo kama elimu, uchumi kufa.
Ila kama anadanganya.. huyo alikuwa anatafuta attention yako ili umsamehe
 
Hahaha ana lolote anataka anashindwa kukwambia direct
 
Daby Mme WA wake 4....utakufa bure utakuja penda adi majini
Sio Daby yule unayemjua mimi ni Daby kutoka jukwaa la siasa. Yule kweli Daby mwingine ana wake 4.
 
Daby WA siasa na Daby mapenzi duuuuh....kila sector upo
Namaanisha Daby unayemjua wewe sio mimi... mimi ni Daby wa jukwaa la siasa huyu Daby unayemzungumzia wala simjui
 
Back
Top Bottom