jacksonEstate
Member
- Apr 1, 2017
- 58
- 52
Watu bhana.....kila mtu na Ubungo wake.......Kwa kuwa swhemu ni ya bure basi kila mtuu anacoment utumbo wake.........watanzania kila jambo huwa tunaona utani ila likikutokea ndio tunaanza kujitambua....
Back to the point....kila ndoto ina tafsiri yake na inatehegemea ameota muda gani.......ndoto za usiku kuanzia saa 8 na kuendelea mpaka saa 10 hivi zina maana na athari katika maisha yako...
Kuota MTU kafa inamaanisha huyo MTU atakuwa na afya njema ,furaha na amani...

Mkuu Daby