Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Sio kwako ni kwa jakitoo....lala mkuuNjoo ucjali mkuu
Sio kwako ni kwa jakitoo....lala mkuuNjoo ucjali mkuu
Ahsante mkuu kwa ushauri wakohamja mueleza ata inamaana gani mnaruka ruka tuu.
kufa inamaana nyingi.
1. utakufa kiimani
2. utapita changamoto mpka unyooke.
anza kujiandaa kwa changamoto.
Ahsante kwa mawazo yako pia ila sijaona uboya wangu nishauri cha kufanyaNamaifu sana huyo mwamke wako aiseeeee........
Anaonekana anakuzidi akili na ujanja, na bila shanapa nawewe ume prove kwa kutuandikia huu uzi.
Wanawake wanapenda wanaume maboya kama wewe aiseeeee....
Ahsante mkuu kwa ushauri wako
Hawa viumbe asee huwa wanamitego ya ajabu kwel yaan kamuijia jamaa kivingne jamaa nae anawazaanakutania na hiyo ndo kaona njia ya kukuleta karibu na yeye... ameshaona mipango yake aliyopanga imekataa sasa anaona arudi alikotoka tu..!!!





Kuna logic mkuu nimekuelewa kwa faida yangu baadaehamja mueleza ata inamaana gani mnaruka ruka tuu.
kufa inamaana nyingi.
1. utakufa kiimani
2. utapita changamoto mpka unyooke.
anza kujiandaa kwa changamoto.
Kumbe mkuu ndo maana yesu aliona mbali sana kutokuwa na mwanamke eehh!Namaifu sana huyo mwamke wako aiseeeee........
Anaonekana anakuzidi akili na ujanja, na bila shanapa nawewe ume prove kwa kutuandikia huu uzi.
Wanawake wanapenda wanaume maboya kama wewe aiseeeee....
Huyo anakuaandaaa ucjalihuyo atakua anakuroga mkuu.
hapo anakuandaa kisaikolojia
unamtumia mpesa bila kukuomba?Mkuu ubahili wangu uko wapi?
etiiiiiKufa kweli umtimizie ndoto yake
Omba kemea roho ya mautiWakuu poleni na majukumu ya kila siku, nina mpenzi wangu tuliachana naye kwa kwa muda wa mwezi mmoja kisa aliniambia sex mpaka ndoa basi bwana mimi nikasema isiwe kesi nakamkaushia mazima sikumtafuta wala nini nashangaa siku moja usiku wa manane saa nane akanitafuta na kuniomba msamaha kwa yote aliyonifanyia na kusema kuwa anaitaji nimsamehe basi baada ya siku nne nikamjibu nikasema sawa sote ni binadamu na hakuna binadamu mkamilifu nikaamua kumsamehe nashangaa jana ananiita na kusema nimekuomba msamaha kwa sababu nimekuota umekufa nilishiwa nguvu ghafla na nikamjibu sawa kama kuna mipango ya mungu tumwachie yeye. Hili likoje mpenzi wako kukuotea umekufa?
ACHA UBINAFSI MKUU WATU WANAPELEKA MPAKA KWENYE VIDEO NA REDIO NINI HUKUWABONGO TUWENI NA USTAARABU ,HATA KUOTA MNALETE HUMU, JE NI AKILI ZETU KWELI
Nadhani hakuna sehemu niliyosema nampa hela hapo juu kwenye maelezo yanguunamtumia mpesa bila kukuomba?