Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Hela kwanza then mengine kama sura, six pack body, ukubwa wa maungo ya sirini nk ndiyo vitanafuatia...
Masuala ya bby vumilia tu tutapambana mtaani hayapo, ni lazima pawepo pa kuanzia..!! kuachwa njiani nako kuko palepale kama mifuko itatoboka na uwezekano wa kushonea haupo.
 
Mapenzi ya dhati bila pesa yapo na wanawake wenye uvumilivu wapo ila wanatofautiana vitu wanavyo vivumilia.

Kabla ya kuanzisha mahusiano na mwanamke lazima ujue mwanamke anayo mahitaji maalum ambayo suluhisho lake ni pesa tu, si vinginevyo. Je Unauwezo wa kumhudumia?

Si dhambi hata kumuuliza ikiwa unaona jambo hilo hutolimudu "nani anahudumia mahitaji yako ya msingi. Ni dada, bwana walie achana au anajihudumia mwenyewe! Japo mwanaume anaejielewa huwa haulizi maana inashusha heshima kidogo hasa akiwa ni mwanamke mwenye kujielewa pia.

Jambo pekee unaloweza kufanya ili mwanamke aamini unampenda ni kumpa pesa.
 
Kwakweli huwa sipendagi kuomba pesa natakaga mwanaume ajitambue mwenyewe kwamba natakiwa kutunza mpenzi wangu ,nikiona cpewi hata buku tano ya rasta nasepa
Ningepata wapenzi kama wewe ninge furahi sanaa..
Yaani nakula papuchi halafu unasepa mwenyewe.

Wanawake kama nyie mnapatikana wapi?

#YNWA
 
Kiongozi jibu ni pesa, kwanza pesa easy tu. Ukipata pesa wala hutatumia nguvu na wewe usilipe kisasi. Keep low profile then msikilizie.. she will go crazy!
 
Vitu vingine hawa wanawake mnawaendekeza sanaaaa maisha yamebadilika sanaaa huyo hana uwezo au nguvu ya kujishugulisha na chchte hata kibarua cha kuosha vyombo mgahawani ili apate pesa ya kujimudu hata kununua pedi ya elfu 4 mpaka akae anamtegemea mwanaume amnunulie????? Mwanaume ndo huyo hana kazi ya kueleweka leo ana pesa kesho hana mnataka afanye nn aibe????? Kama ww una kazi ya

Mkuu umeandika paragraph ndefu ila point kuu ipo mwishoni, Pesa.. huyu jamaa mwambie aachane na maswala ya mapenz mpaka awe fit financially mbona hata sisi tumetokea bench mzee ? tumesugua sana bench lakin now tunabang tu. Mshauri mwenzio vizuri Mapenz na pesa ni kama chupi na tako na tena awe nazo Mwanaume,

NB: hapa hatuna shida na huyo malaya tuna shida na mwanaume mwenzetu na ndio tubase kumsaidia yeye ATAFUTE HELA KWA NGUVU... Narudia TENA WANAWAKE WOTE DUNIANI HAWAWEZ KUMVUMILIA A FOREVER BROKE ASS NIGGER, and Wengi wao hawawez kuhold on for so long, So jamaa as quick as possible aanze mchakato wa kuwa na hela...HAKUNA NAMNA
 
Ningepata wapenzi kama wewe ninge furahi sanaa..
Yaani nakula papuchi halafu unasepa mwenyewe.

Wanawake kama nyie mnapatikana wapi?

#YNWA

Hainaanishi sitaki pesa nasoma ramani kama unatoa mwanzo wa mahusiano nikiona mwanzo tu huongei wala huwez nipata
 
Narudia Tena kwenye hii dunia ya kicapitalist leo hii hata bwana Elon Musk akienda flat broke mke wake anamkimbia au kama ana girfriend anamkimbia kwahiyo hii stori ya jamaa iwe somo kwamba MWANAUME KUWA NA HELA NI LAZIMA KAMA KUNA MTU ANASIKILIZIA MCHONGO AENDELEE KUKAZA, Bwana mkubwa hata kubet hujui ? Jichanganye mzee Elfu kumi na tano unaombwa leo inapita wiki huipati inakuwaje wakuu ? SOMO LA HELA BORA TUNGEANZA KUFUNDISHWA TUKIWA CHEKECHEA HAPA TUNGEKUWA TUNAELEWANA
 
Hahahahahhaha tatizo pesa ndio mlango wa burudani zote!

Yani ukiwaza pesa waza chumba kilichojaa yote upendayo ma rolce royce,range rover,pisi kali, mi mansion na kadhalika ila sasa funguo yake ni pesa tu!

Kuichonga hio funguo ndio kupitia machozi jasho na damu kwa kufanya kazi kwa bidii. Inataka moyo sana kuvumilia ndio maana masnitch wanakimbiaga hapa. Kuzipata ni process na mkakati wa mda mrefu kidogo.

oya mhuni eeeh unajisikiaje ukienda samaki samaki una milion mbili mfukoni ? au unaenda pale una elfu kumi na tano , Jaman achen hela iitwe hela hakuna namna wakuu daaah Dunia ya Makapitalist hii na hawana habari wanataka pesa
 
Tabu yoote ya nini, njoo chamani kwetu chaputa.. Wenzako makapuku, madomo zege na tusiopenda tabu tupo huku.. Tunajipimia tu, tukitaka mnato, bwana, kisima, ya maji.. Beyonce, vanesa mdee, ryan conner, cherokee, kira noir, ukitaka threesome ya kajala na mwanae paula unawabirimgisha swaafi kabisa..

Karibu chamani, kadi yako ni namba 7132027270



 
Jamani wanawake wenyew huwa wanasema kwamba mtu aliyekupenda anabaki kusapot hustle zako tu lakini siyo kufikiria kilicho mfukoni mwako

Hili tusilisahau, Mwanamke anayekupenda hakuombi hela labda awe amebanwa kwelikweli
 
Wanawake ni very complex na wanabadilika anytime, na hiyo ni miongoni mwa mambo mengi yanayotutafautisha nao. Tatzo lao kubwa wao hufanya maamuzi kwa hisia na hisia hubadilika, tafuta pesa, jenga maisha yako watakuja wengine baadae. Nliachwa kikatili sana na mtu nliekua na malengo nae, siku nataka nipeleke mahari kwao akawa anaonyesha hana interest. Inauma sana na najua unachopitia, ila piga moyo konde!

Alienda olewa na mwamba mwingne, baada ya miez 6 tu ananitafuta kama chatu na mbwa na mizinga kibao plus regrets. Nimepata kisu cha hatari, tayari tuna dogo na hana mbwembwe na baraka kibao za Muumba. Unaweza shangaa ukaja daka mtoto mmoja matata mpaka ukawa unaona kama kumpata hukustahili, nikimuangalia wife naonaga dah huyu mtoto kanipendea nini, ila siri yangu.

N.B hata mwanamke aweje, usimchukulie dhamana asilimia mia, ishi na kufurahi nae ila akikuacha usishangae. Japo wewe tatzo liko wazi, simply huna hela na hukuweza kuhudumia mahitaji!
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
Mimi nadhani hukuelewa anaposema mapenzi siyo pesa hakuwa na maana hata 30k na 15 k uwe unashindwa kumpa nadhani alihisi hizo ni hela ndogo sana kwa Mwanaume kusema hana ila pole ndo maisha tafuta hela upate demu wa ndoto zako
 
Mleta mada tafuta pesa kwanza huku ukiendelea kupiga nyeto,ukipata pesa ya kueleweka anza kutafuta mpenzi na hatimaye aje kuwa mke.
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda, siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana, na ni mwaka umepita tangu kuachana

Pia, akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa. Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati

Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri

Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute

Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu

Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka

Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina. Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali. Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio

Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota, siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo

Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza. Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea, kama mara 20 hapokei, nikatuma sms hakujibu

Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia

Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako? Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"

Wadau siko vizuri, nahisi kuchanganyikiwa kabisa.

Huyo si mpenzi lolote balil adui na gold digger mwanangu.
 
Kafanya la maana sana kukumwaga, una la kujifunza hapo. Somo ni kwamba, inatakiwa uwe na ghadhabu ya kutafuta mkwanja.

Asikudanganye mtu, mkwanja una nafasi kubwa kwenye Mapenzi. Watakwambia anaekupenda hahitaji mkwanja wako, ila mtazunguka humo itafika siku itakulazimu mkwanja utumike kwa njia yoyote ile
 
Kafanya la maana sana kukumwaga, una la kujifunza hapo. Somo ni kwamba, inatakiwa uwe na ghadhabu ya kutafuta mkwanja.

Asikudanganye mtu, mkwanja una nafasi kubwa kwenye Mapenzi. Watakwambia anaekupenda hahitaji mkwanja wako, ila mtazunguka humo itafika siku itakulazimu mkwanja utumike kwa njia yoyote ile
Achana na hela mkuu, nani hapendi kuchil kwenye crown black!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom