Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Unajua binadamu haridhiki mtu akiwa anapenda ile kitu mwingine analalamika akiwa hataki analalamika tufanyeje maana kama mwanaume analalamika mwanamke wake anapenda mgegedo ina maana anamridhisha na kama jamaa hataki bidada akaridhishwe na nani?
 
Ni vema ungesoma uelewe vizuri post kabla ya ku_comment, hoja ni kwamba endapo mume atakuwa mbali je mwanamke ataweza kuvumilia kutokana na mhemuko wake?
 
Toka ubalehe huyu msichana wako wa ngapi? Unaonekana bado amacha!!
 
Anakupenda sana ndio maana akikuona tu feeling zinakuja sio kwamba ni kicheche. Ana penzi la dhati kwako.
 
Nimelipenda swali lako, eti sijui nitachapiwa mara ngapi. Maana suala la kuchapiwa ushaona ni given ila ni mara ngapi ndo swali lililopo mezani
 
Wewe vipi sasa asipokupa vitu utalalamika au???jaribu kujali hisia za mwenzio!!!shauri yako kama humpi atakigawa kama peremende na utaanza kulalamika humu JF
 
Mods thread kama hizi za kutunga zifungie kwani zinasababisha forum yetu kupoteza hadhi yake. Watu wanajiandikia chochote kinachowajia vichwani mwao ilimradi tu wapate umaarufu kutoka kwa wasomaji.

Mkuu namtetea mleta mada maana haya mambo yapo tunakutana nayo sana mii mwenyewe nikiwa shuhuda wa hilo
 
Huwez amini mkuu nimetani ghafla huyo dem aniachie Mimi duuu
Watu wanafunga kukesha kuomba wapate wanawake Wa aina hyo jamaa anaremba DUI imenisikitisha sana kwakweli

Usiombe mkuu kukutana nao na uzuri wao hawana half time km ulizozoea, unaweza enda hata raundi tatu na yeye hadi tano bila kushuka maana mwanzo mwisho hawakauki na km huwezi jikontroo ndio unapotea kabisa , unamsugua mpaka anajikanda lkn kesho ukirudi kazini anataka kama kawa. Na utamu wa hawa viume ni kavu kavu sio kwa condom maana wengine zinawachubua au kuwawasha na hapo kila akikumbuka dushe hamu inaisha wee unadai umemridhisha.
 
Mkuu nakupa like kama nilikusimulia kisa chote aisee..lol!
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

mkinyimwa mnalalamika, mkipewa mnalalamika... nyie binadamu vipi?
 
Vizuri sana mkuu maana kuna watu kila jambo huchukulia kama mzaha na uzembe. kwa ufupi huyu binti anapenda kila siku nikitoka kazini nimgegede na huwa natimiza wajibu wangu ipasavyo anaenda hadi bao 4 wakati mimi nikiwa na bao moja tu. kwa hali hii huwa nadhani atapunguza kutaka kila siku ila ajabu ikipita siku moja huwa ni lawama na ikiwezekana hutumia nguvu.

Yaan unavyoelezea mkuu km aliewahi kua demu wangu maana hata ukimwambia umechoka kiasi gani yeye haelewi ukilala atakuamsha, ukigoma ni kwamba hulali atakutingisha na kukutekenya ili usilale yaan mpaka umpe dushe ndio utalala bila kusumbuliwa.
 
That's a different story.It might be a demonic spirits kama mtu anataka kufanya hata barabarani. Issue ya huyu mwenzetu ni tofauti, mpenz wake anataka wa-do wakiwa pamoja ndo maana jamaa anakimbia faragha.....Hahahahahahaha SIJAPA ona hii... Hakikisha unakula nyanya pichi moja kila siku...BIG RESULT

Nyanya mbichi inasaidia nini mkuu
 
Back
Top Bottom