Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Wapenzi kama hawa ndiyo wanatafutwa wewe unamkwepa! Kweli kwenye miti na misumari hakuna wajenzi.

Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?
 
itakuwa mpenzi wako jina lake linaanza "S"
na kama si mchaga wa kibosho sijuh!!!
 
mkuu endelea kurusha njotaa kibabiloni...hao ndio tunaowalilia wenzio!

Usiombe siku ukaja kukutana na wale wa bao moja tu kachoka, ukitaka tena unaskia..."Bwanaee niache sasa kama mi sina stimu nifanyeje?"
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?
Mh makonda amewapiga ban sampuli hiyo.kama muigizaji na mwingine ndugu yake domo.kwenye interview wanasema wanasumbuliwa na mademu kweliii.kugonga kama kula hainaga kuchoka
 
We endelea kuleta ubishoo tu hayo ndio mambo ya msingi yakuyatilia maanani! !

Fanya mazoezi uwe na nguvu zakutosha huku ukiachilia mbali ulaji wa chips chai
 
Huyo ni mchumba au "mke", yaani kumbe mmeshaanza kufanya mapenzi mara kibao kabla ya ndoa!!!!!
 
Back
Top Bottom