Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

Inaonekana kale ka mchezo kabording ulikecheza sana!!!!
hata nguvu za kuhimili mikiki ya mwanamke zimeisha

Nakupinga mkuu, wapo wanawake wenye genye hatari wala usiombe kukutana nao, kadiri unavyompagawisha ndio unamwongezea kasi ya kupenda dushe,
Nilishawahi kuishi na mwanamke wa hivyo mapunziko yake ni siku 3 za period tuu, hizo zingine zote lazima umpe haijalishi umechoka kiasi gani yeye hakuelwi.
Nilikua nampeleka hadi raundi nane mpaka anapepesuka hapo ukijua cku tatu hana hamu nayo lkn nikirudi kazin anaulizia leo unanipa ngapi, ckuwahi kushindwa kumpa haki yake lkn baadae nikagundua nimepungua uzito, na mwishowe yakanijia mawazo km ya mleta mada nikaamua kuachana nae.

Ushauri kwa mleta mada, angekua anaishi na huyo mwanamke angepata jibu sahihi kua anapenda kugegedwa kiasi gani pengine hata anampa mara 2 kwa wiki anakuja kulalamika, kipimo sahihi ukiishi nae utajua anapenda kiasi gani.
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba. ni mpole na anatabia njema,

kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

hafai hata kidogo
Mimi nlikuaga na demu wa hivyo lakn nlishindwa kumuoa akaolewa na mfanyabiashara mmoja haikupita miezi mitatu jamaa kamfuma chooni na houseboy!
 
Hapo labda unajua kumridhisha sana kias kwamba amekuaa akikuona tu anadai mchezo

Hiv ulimkuta na bikira yake? Ukweli n kwamba uwezekano wa wewe kuibiwa upo na uwezekano wa kutoibiwa upo. Kama ana tabia za chura kila mahali huruka bas jibu liko wazi

Alaaaa kuuuumbeee!!!! Kumbe nilifanya kosa sana kumwacha kwa kuogopa kumegewa kirahisi.
 
Kaka unakuja kulalamika mwanamke wako anapenda sana mashine!!!

Fanya kazi yako au watu watakufanyia... Either way, uaminifu ni tabia tu, kama hana hana tu
 
Tatizo unapaluza juu juu tu ndio maana anaendelea kudai haki yake.
 
samahani lakin. sometimes size ya mashine ni chalenge.yaweza kuwa kibamia ukakukuruka weee ukatoa risasi nane hadi bunduki ikabaki empty, lakin hajafeel kama kasuguliwa sawasawa hhvyo hamu haiishi kabisaaa
 
Kwahiyo unataka mpange ratiba yakugegedana?inawezekana mnatofautiana yeye ni sex oriented na wewe sio hebu acha mambo ya kulalamika bwana haipendezi kwa mwanaume kulalamika kitu kama hichi bwanaa
Kupenda kwakwe kusex na wewe haimaanishi anapenda na kila mtu !
 
samahan lakin. size ya mashine nayo ni chalenge yaweza kuwa kibamia utapiga risasi mpaka nane bunduki ibaki empty lakin hujasugua hzo angle zote ndo maana hamu haiishi
 
Duh

Wanaume wa siku hizi wanakumbia kugegeda???

Kweli dunia imeisha...

Anyway sorry sijakujibu swali

Namalizia kushangaa
Lakini kuna wadada wanapenda kusuguliwa 3 times a day, 24/7...! Huoni hilo nalo tatizo?
 
Kwahiyo unataka mpange ratiba yakugegedana?inawezekana mnatofautiana yeye ni sex oriented na wewe sio hebu acha mambo ya kulalamika bwana haipendezi kwa mwanaume kulalamika kitu kama hichi bwanaa
Kupenda kwakwe kusex na wewe haimaanishi anapenda na kila mtu !
Mmh..!
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

Mods thread kama hizi za kutunga zifungie kwani zinasababisha forum yetu kupoteza hadhi yake. Watu wanajiandikia chochote kinachowajia vichwani mwao ilimradi tu wapate umaarufu kutoka kwa wasomaji.
 
Hapo labda unajua kumridhisha sana kias kwamba amekuaa akikuona tu anadai mchezo

Hiv ulimkuta na bikira yake? Ukweli n kwamba uwezekano wa wewe kuibiwa upo na uwezekano wa kutoibiwa upo. Kama ana tabia za chura kila mahali huruka bas jibu liko wazi

Umenena vema mwenye masikio kasikia mwenye kuona ameona....kazi kutekeleza tu.
 
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,

Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.

Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.

Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?

Purely private matters. Hayatuhusu
 
Mods thread kama hizi za kutunga zifungie kwani zinasababisha forum yetu kupoteza hadhi yake. Watu wanajiandikia chochote kinachowajia vichwani mwao ilimradi tu wapate umaarufu kutoka kwa wasomaji.

Kupoteza hadhi ipi mkuu? Au wewe unataka thread za mtu kufumaniwa na kuliwa kiboga ndo uamini ya kwamba haya mambo yapo. Kuna siku yatakukuta ndo utapoikumbuka hii thread mkuu.
 
Back
Top Bottom