Mpenzi Wangu Ananiumiza kichwa....!!

hapo unamjibu kwa upole tu na kwa tabasamu kubwa.
unamwambia;
Baby i love you too. Naomba leo ujilipie mwenyewe, mimi ntakulipia siku nyingine sababu hapa nilipo nimepatwa na matatizo makubwa. ntakueleza tukionana coz sio ya kuongelea kwenye simu. Nasikitika kutowaona marafiki zako wapendwa. wasalimie sana.
Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.
Love you so much..!!Mmwaaa...!!!!.
Harafu unazima simu. Mia
Ha ha haaah!! Mia....
 
Best Katavi usinilazimishe kukuwekea dhamana mahakamani kwa ajili ya madenti, tafuta jimama kama Kongosho la kukukopesha kwa huduma bomba ambazo wewe mwenyewe utajikuta ukirudisha mara 10 ya ulivyohumiwa.
 
Last edited by a moderator:

TaiJike nitafanya hivyo maana naona wengi wananishauri nichukue mijimama, lakini Kongosho hapana!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa kuwa ATM, achana na wanafunzi,haijalishi msingi,sekondari au chuo maana wote akili zao ni sawa. Jaribu kutulia na kumtafuta mwenye view ya mbele,wanafunzi wengi ni take away( give something take something) bila kujua hali yako ikoje
 
Best Katavi usinilazimishe kukuwekea dhamana mahakamani kwa ajili ya madenti, tafuta jimama kama Kongosho la kukukopesha kwa huduma bomba ambazo wewe mwenyewe utajikuta ukirudisha mara 10 ya ulivyohumiwa.

He he he, ataniwezea wapi huyu, kazoea vianafunzi.

TaiJike nitafanya hivyo maana naona wengi wananishauri nichukue mijimama, lakini Kongosho hapana!

Hivi wewe unajua hata abcd za kula? Unajua bed manners kweli?
 
Katavi ndo umepona majeraha ya jimbo la ubungo nini. ina maana hata vijisenti vimepungua eeh.
 
Back
Top Bottom