TaiJike JF-Expert Member Dec 14, 2011 1,483 666 Jun 13, 2012 #42 Mamndenyi said: Ungenitaja mmmh haya we. Click to expand... Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Ungenitaja mmmh haya we. Click to expand... Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama.
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Jun 13, 2012 #43 TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand... Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand... Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama
Wingu JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,318 401 Jun 13, 2012 #44 Kwa hali hiyo lazima uwe maige tu kila dili mbele yako unatumbua tu fanya mchezo kumtunza baby nini
TaiJike JF-Expert Member Dec 14, 2011 1,483 666 Jun 13, 2012 #45 Erickb52 said: Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama Click to expand... Erickb52 Katavi anasumbuka na vident, sasa mi nataka apungwe badala ya kupunga. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 said: Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama Click to expand... Erickb52 Katavi anasumbuka na vident, sasa mi nataka apungwe badala ya kupunga.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jun 13, 2012 Thread starter #46 Madame B said: Ndo malovee na malavidavi hayo Click to expand... Haya mambo ya kuumizana.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jun 13, 2012 Thread starter #47 Erickb52 said: Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama Click to expand... Bora unisindikize aisee...lol
Erickb52 said: Hehehehee TaiJike unataka Katavi akafanyaje na huyo jimama? Lol nitamsindikiza walau awe salama Click to expand... Bora unisindikize aisee...lol
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,229 Jun 13, 2012 #48 TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand... TaiJike kuwa makini na moyo wangu,haya mambo ya konabar siyo kabisa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand... TaiJike kuwa makini na moyo wangu,haya mambo ya konabar siyo kabisa
TaiJike JF-Expert Member Dec 14, 2011 1,483 666 Jun 13, 2012 #49 Level said: TaiJike kuwa makini na moyo wangu,haya mambo ya konabar siyo kabisa Click to expand... Jamani Bby moyo wako nimeushika kuliko simu ya kiganjani, ni mama anataka kula bata.
Level said: TaiJike kuwa makini na moyo wangu,haya mambo ya konabar siyo kabisa Click to expand... Jamani Bby moyo wako nimeushika kuliko simu ya kiganjani, ni mama anataka kula bata.
TaiJike JF-Expert Member Dec 14, 2011 1,483 666 Jun 13, 2012 #50 Katavi said: Bora unisindikize aisee...lol Click to expand... Kama kwenda tu unaogopa sasa utaanzaje kunanilii?
Katavi said: Bora unisindikize aisee...lol Click to expand... Kama kwenda tu unaogopa sasa utaanzaje kunanilii?
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Jun 13, 2012 #51 TaiJike said: Erickb52 Katavi anasumbuka na vident, sasa mi nataka apungwe badala ya kupunga. Click to expand... Teh ila inaonekana hata koma Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TaiJike said: Erickb52 Katavi anasumbuka na vident, sasa mi nataka apungwe badala ya kupunga. Click to expand... Teh ila inaonekana hata koma
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jun 13, 2012 Thread starter #52 TaiJike said: Kama kwenda tu unaogopa sasa utaanzaje kunanilii? Click to expand... Ha ha haah!! Kwenye kunanilii siwezi kuogopa wewe...
TaiJike said: Kama kwenda tu unaogopa sasa utaanzaje kunanilii? Click to expand... Ha ha haah!! Kwenye kunanilii siwezi kuogopa wewe...
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Jun 13, 2012 #53 mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki..
mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki..
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,599 52,299 Jun 14, 2012 #54 Nakupenda kwa kuwa umesoma na una akili sana. TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand...
Nakupenda kwa kuwa umesoma na una akili sana. TaiJike said: Mama mkwe nilikhofia ungenisema kwa mwanao Level kuwa sina adabu. Katavi njoo konabar saa 20:00 ukutane na jimama. Click to expand...
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,599 52,299 Jun 14, 2012 #55 Data bana, sasa hapo si utakuwa umelegea tu kama mlenda. data said: mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki.. Click to expand...
Data bana, sasa hapo si utakuwa umelegea tu kama mlenda. data said: mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki.. Click to expand...
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Jun 14, 2012 #56 Mamndenyi said: Data bana, sasa hapo si utakuwa umelegea tu kama mlenda. Click to expand... weeee.. ulizia Mamndenyi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Data bana, sasa hapo si utakuwa umelegea tu kama mlenda. Click to expand... weeee.. ulizia Mamndenyi