Mpenzi Wangu Ananiumiza kichwa....!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Angalieni wenyewe........

392502_245001115610972_273413681_n.jpg
 
usisahau kumpelekea na big G na lambalamba za bakhresa,kazi unayo,heri yangu ninayejipendea minungayembe kina kongosho wala haisumbui.
 
Hahahahaaaa Katavi kazi unayo
Dawa ya hao ni kuwaacha wasome sisi wetu sio hao lol
Hao waache wakumbane wao kwa wao
Lol Tafuta Shugamumy hutapata hizo stress kamwe
 
Last edited by a moderator:
Kama anakuumiza kichwa, basi nawe muumize miguu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Hahahahaaaa Katavi kazi unayo
Dawa ya hao ni kuwaacha wasome sisi wetu sio hao lol
Hao waache wakumbane wao kwa wao
Lol Tafuta Shugamumy hutapata hizo stress kamwe
Erickb52, kumbe Mashugamamy hayana mambo ya kuumiza kichwa??
Nipe uzoefu basi...
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bishanga, unatafuta pa kufia?
Mbona roho yako inatap[atapa sana.
Kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwiiiiiiiiii
Lol nimecheka kinafiki hadi najishtukia lol
Kama ni mimi nimeambiwa hivyo lazma walau ningebadili hata ID maana ni kashfa nzito sana kwa Bishanga mh
 
Last edited by a moderator:
Jina unalomwita "umiza kichwa" ni low rank!
Huyo keshaivuka ngazi hiyo, huyo rank yake ni "Pasua kichwa" au kifupi "Pasua"
 
hapo unamjibu kwa upole tu na kwa tabasamu kubwa.
unamwambia;
Baby i love you too. Naomba leo ujilipie mwenyewe, mimi ntakulipia siku nyingine sababu hapa nilipo nimepatwa na matatizo makubwa. ntakueleza tukionana coz sio ya kuongelea kwenye simu. Nasikitika kutowaona marafiki zako wapendwa. wasalimie sana.
Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.
Love you so much..!!Mmwaaa...!!!!.
Harafu unazima simu. Mia
 
Back
Top Bottom