Matatizo mengine watu wanajitafutia tu.Hapaswi kuyatafuta matatizo.. Aache yaje yenyewe😀
nampa 😀😀😀Je, unaweza kumpa mpenzi wako password ya simu yako bila uoga wowote?
Tuombeane Mkuu.Subiri siku ujichanganye ujisahau😀
😀😀😀😀hakuna atakachokuta kwanza app ambayo ataingia bila faceid kwenye calls tu maybe na gamesBy force labda😀
😂Exactly sio kila muda tu anashika simu yakoAisee kuna wakati naweza kumpa... ila kuna wakati mwingine upepo unabadilikaga!
Acha uzinzi mkuu 😄Sim ipi kiongozi isije kua umetumia rejesta tu alafu kumbe sio simu hii uliyomaanisha?