The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,048
kwahiyo mkuu tangia uanze mahusiano nae hujala mzigo popote....Watu mna uvumilivu sana aise 2 years
Wewe utakuw mutu murefu kwa kwenda chn maana hata akil yko imedumaa!yan dem umkimbzie 2012 hadi 2015 kwan uliota kuw ukiw nae hutokufa?Habari za jioni wanajamvi
mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!
kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?
NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Anayewaza ndoa ndo mke mzuri. Anayewaza kukazwa ni mkazwaji tu. Mvumilia, akija kuzingua wapo wengi hao watu.ahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto
na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
Kwahiyo kwahili ushajitolea muhanga!
Hatari kweli....halafu atakuja kuomba ushauri tena.
Dah yaan mi nilidhan labda mtakuwa kwenye city moja kumbe Moro mpaka Dar!nop sio kwenye simu... mm nasoma mzumbe moro..yeye UDSM .. ni ishu ya makubaliano tu either yy aje moro au mm niend dar
very simpo
Mmmh!!Ha ha ha tatzo ni zile za zaman ndio ztanikamatisha ila kwa mpya muulize hata mwanao anajua tunasubir ndoa tu hapa hatugusan
Mmmh!!
Kama hakuchuni komaa nae labda ni miongoni mwa wachache waliobaki kizazi hiki. Ila kama anakuchuna tahadhari utakuja kulia. Tafuta spea tairi kwa tahadhari, sikufunzi ujinga no but spea tairi zinapunguza maumivu kwenye dharura, hawa wanaojiua hovyo kila siku walipenda na kuwekeza sehemu moja epuka hilo. Mtu uliyemtongoza miaka kadhaa akakukubalia kwa masharti bila shaka alikubali ili kuepusha kero tu ila haupo ndani ya moyo wake.Habari za jioni wanajamvi
mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!
kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?
NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Kwahiyo unajipumzisha wapi kwa sasa?Ha ha ha ha mkwe mbna kama tomaso vile