mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
- Thread starter
- #181
oh nmekupataItakua rahisi yeye kucheat n kurud kwako bila ww kujua. Na hatakua n reason ya kujibana bana tena.. Atakua curious pia kujaribu vitu tofauti!
oh nmekupataItakua rahisi yeye kucheat n kurud kwako bila ww kujua. Na hatakua n reason ya kujibana bana tena.. Atakua curious pia kujaribu vitu tofauti!
Mkuu ukiona manyoya ujue kanga kashaliwa sasa wewe kaa usubiri kuona manyoyaaa.Habari za jioni wanajamvi
mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!
kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?
NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Msulubishe... Msulubishe...!!!
Amuandae afu kuna boya litakukula kizembe tuh tetetehSikilza wewe sawa tafuta mwengne unaeweza kumla huyo muandae kwa ajili ya ndoa
Ukifika muda ukikuta hola rohoo haitauma sana
Ni vzr,kama kweli umependa hilo toto la kike vumilia tu ,lakini kama vp chepuka kidogo ila asijueahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto
na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
hahahaMkuu ukiona manyoya ujue kanga kashaliwa sasa wewe kaa usubiri kuona manyoyaaa.
utani unaoumiza

Nimesema atundikwe msalabani...Ngoja aje mjin tumpandshe mwendo kas kwanza
Ana maadili.....jitahidi usimpoteze, na baadhi ya comments zina negativity usiziweke kichwani.ahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto
na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
hahahaNi vzr,kama kweli umependa hilo toto la kike vumilia tu ,lakini kama vp chepuka kidogo ila asijue
maana hamna namnaKwani hamjui!?Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuwabania.
na mimi npo kwenye hili tatizo nataka kuachana nae tuahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto
na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
Amuandae afu kuna boya litakukula kizembe tuh teteteh
Mkuu yupo Udbs ..na anaishi hall 3 ?nop sio kwenye simu... mm nasoma mzumbe moro..yeye UDSM .. ni ishu ya makubaliano tu either yy aje moro au mm niend dar
very simpo
Wee kama haya uliyoyaandika ni ya kweli,,,basi huyo ndoo mke wa kumuoaa,,,,,hao chovya hovya sio wake wa ndoa,,,,Habari za jioni wanajamvi
mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!
kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?
NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
hapana mkuuMkuu yupo Udbs ..na anaishi hall 3 ?
Mkuu upo college gan?Anhaaa kumbe UDSM mkuu, na mm nipo hapa, naomba Jina Lake na Kozi anayosoma ntakua nakusaidia kukupa ripoti za shemela kama hutojali