Mpenzi wangu ananibania sex

Angalia isije ikawa anakuambia kukupa mzigo hadi ndoa halafu ukute jamaa mwingine anamkaza, kuna jamaa yangu mmoja alikua na demu akimuomba mziko anamwambia hadi ndoa demu anakuja ghetto kipindi hicho tuko chuo jamaa anatupiga exile anaishia kumpiga vidole na mate kumbe kuna jamaa course yetu humo humo anamkaz demu. Wanawake hawana maana
daaah noma hio aisee... nimekumbuka quotation fulani kwenye kitabu cha"i will marry when i want" enzi za A level

kiguunda said
" a woman is a pot full of poison"
 
Sikilza wewe sawa tafuta mwengne unaeweza kumla huyo muandae kwa ajili ya ndoa
Ukifika muda ukikuta hola rohoo haitauma sana
Huu utalaam waujulie wapi mzee mwenzangu vijana wa colleges
 
Msikilize na uheshimu maamuzi yake na hiyo itakufanya ufikirie ndoa haraka, si uko mwaka wa tatu? Mshahara wako wa kwanza peleka posa kwao.
asante sana kwa ushauri ndugu..yah nipo mwaka wa 3 mzumbe - moro namaliza chuo mwaka huu..

nawe pia ni mwanamke kama yeye nadhani utakua unaelewa zaidi..

hivi inawezekana ni kweli anamaanisha anachoniambia? au danganya toto tu
 
kama bikira hapo sawa wahi nenda katoe posa haraka ila kama sio bikira basi huyo ni tapeli nenda kamripoti polisi ili wakimaliza hii issue ya ngada wamshughulikie
aigooo! aigooo!... umenigusa mpaka moyoni nmeumia haloo
 
Achana naye mimi hiyo issue ishanikutaga huyo anatembea na pendeje ukigundua utaumia sana achana naye mapema
 
Kama unampenda fika kwao Fanya yatakiwayo kisha oa ujinafasi suala la wengne wanado anajua mwenyewe au utakuja jionea
 
asante sana kwa ushauri ndugu..yah nipo mwaka wa 3 mzumbe - moro namaliza chuo mwaka huu..

nawe pia ni mwanamke kama yeye nadhani utakua unaelewa zaidi..

hivi inawezekana ni kweli anamaanisha anachoniambia? au danganya toto tu
Kama hujazoea kufanya ule mchezo huwezi kuumiss.
 
asante sana kwa ushauri ndugu..yah nipo mwaka wa 3 mzumbe - moro namaliza chuo mwaka huu..

nawe pia ni mwanamke kama yeye nadhani utakua unaelewa zaidi..

hivi inawezekana ni kweli anamaanisha anachoniambia? au danganya toto tu
Njovu bado yupo???
 
Msikilize na uheshimu maamuzi yake na hiyo itakufanya ufikirie ndoa haraka, si uko mwaka wa tatu? Mshahara wako wa kwanza peleka posa kwao.

mbona unamdanganya mtoa mada? hiv nyie wanawake mna nini? kwanza kitendo cha mtoa mada kumfukuzia huyo demu for 2 years ni dalili tosha kuwa huyo demu hana mapenzi ya dhati kwa mtoa mada, yani kamweka mtoa mada kama spare tyre ndo maana hata kumpa sex inakuwa vigumu, huyo dem bila shaka kuna mwanaume mwingine anamkaza huko nje, au kuna mwanaume anaependwa na huyo demu, akitokea in the picture mtoa mada anapigwa chini Sky Eclat mutu murefu
 
Mkuu ukiona mwanamke anakuambia subiri ndoa kwa kizaz hiki shake befor use...
Utapoteza muda wako bure uyo anapigwa na wengne na na hutakuja kumpata coz anajua sio bikra so itakua aibu kwake

Hupat kitu
 
Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2013 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
Kufukuzia
2013 - Form v
2013 - Form 3

Kukubaliwa
2015

Status: Uhusiano unaendelea, ila no kudinya
2017 - Mwaka wa 3
2017 - Mwaka wa 1

Next: 2019 Ndoa, ndo upewe tunda.
 
Alikukubalia 2015 , huu ni mwaka wa pili mpo kwenye mahusiano, mnasoma vyuo tofauti... sasa hiyo NGONO mnataka nfanyie kwenye simu?
nop sio kwenye simu... mm nasoma mzumbe moro..yeye UDSM .. ni ishu ya makubaliano tu either yy aje moro au mm niend dar

very simpo
 
Hapo sasa wanajifanya wana mahaba kwel kumbe hamna kitu mwakan atakuja na thread hapa aliniambia mpka ndoa kumbe amensalit naomba ushaur
Nan atamshaur hapo
Hiyo ni akiba tunaweka pembeni.
Tunachangamkia fursa zingine.

Halafu mwanamke usipomsumbua kwa muda mrefu kuhusu kapapuchi ujue anastuka anaanza kukulazimishia mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom