Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

Ushauri wangu,,, zingatia masomo,,, hayo utayakuta tuu,,,,
 
Kwani hamjui!?
hata wewe utatoa tu, mnasema hivyo lkn saa yako ikifika utaliwa tu hamna namna!
si umeona jamaa anasema pamoja na kunyimwa lakini huduma nyingine anaendelea kutoa tu!
ikifika saa jamaa akijua kutwist kidogo tu na kumfanya binti ajione si salama (akimset aji-feel insecure) then njia pekee ya kujihakikishia anamuwin huyo mwanaume ni kwa kuchojoa! na mkisetiwa huko, you will drop your bikini fasta na utatoa mzigo!
wanawake wengi ktk 18 - 24 wanaliwa kwa sababu hata sio za wao ku-enjoy game, lkn kwa sababu ya kustrengthen the bond ambapo mnaingia chaka mno!
mwanaume akikugonga, bond inakuwa loose!
wanaume ni conquerors, ukishaweka alama, unatazama biashara nyingine ambazo hazijafanika... haimaanishi kuwa unamuacha mwanamke, lkn kule ku-pretend kunaisha kabisa!
kama msukuma sasa unaishi kisukuma, kama mzaramo unaishi kama wanaume wengine wa kizaramo, au kichaga etc! yale mambo ya kizungu, kuja na roses etc unaweka pembeni na unadai ugali kama hamna unakuwa mkali! ukiomba demu aje kama alibanwa unakoroma, unlike wakati hujapewa mzigo, unaweza kusamehe hata kutukaniwa marehemu baba/mama yako, ila ukitoa bikini tu, hilo ni kosa kubwa linaloweza kukufukuzisha nyumbani kwa mwanaume na usikanyage milele!
duh apo nmekuelewa sana boss wangu
 
ahahahaha anazngua kuja ghetto asee... anasema ana save for marriage... anadhan nataka kumkaza na kumwacha... so huwa tuna meet kula good time town and kissing tu.. ila sio ghetto

na pesa hajawah kuniomba kabisa... mda wote anawaza marriage tu.. ingawa huwa mm mwnyw najiongeza kumtumia sometimes na vizawadi
Mapenz ya kitoto raha sana, tena vile mko chuo kabla course work hazijatoka hahaah..Nimemis haya maisha, hakuna kuchunana sema n kwa vile anakubania sex
 
Wewe mpuuzi kweli, sex is earned and not given, huyo ni mpenzi, sisi tumeoa tunanyimwa na bado hatulalamiki, wewe hata kwao ujaenda unakuja kubwabwaja huku!!!! ningemjua ningemwambia akupige ban kabisa, una haki gani ya kupewa wewe kilaza!

Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!

kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!

kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?

NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
 
Back
Top Bottom