Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,993
Kwahiyo unajipumzisha wapi kwa sasa?
Swali gumu sana hili aisee
Kwahiyo unajipumzisha wapi kwa sasa?
Nilijua tu hutotoa jibu, maana kukaa hivi hivi ukimsubiri dota ni uongo kiwango cha unga.Swali gumu sana hili aisee
Msikilize tuu kama unampenda nae anakupenda vumilianeni muda ukiwadia muoane tena kwa ndoa Takatifu...usiuridhishe moyo wako kwa uzinzi...kwani asipokupa K utakufa?Muogope MunguHabari za jioni wanajamvi
mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2012 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!
kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!
kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?
NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Mke mwema anashawishi mtu kubakwaAkija getto mbake
Mke mwema anashawishi mtu kubakwa
Nilijua tu hutotoa jibu, maana kukaa hivi hivi ukimsubiri dota ni uongo kiwango cha unga.
Kwanini unaniuliza maswali usiyopaswa kuuliza? Unaanza kukosa adabu eeh(kujihami vepee!!)Ila mkwe mbna kama unaniuliza maswal ya binti yako amekutuma nn kufanya upelelezi?
Kwanini unaniuliza maswali usiyopaswa kuuliza? Unaanza kukosa adabu eeh(kujihami vepee!!)
Hahaha....story ya Maria alinichekesha sana....Maria hakua na huruma kabisa mwenzie alinyonga baiskeli vijiji vitatu kutafuta Network waongee Maria anamjibu anaenda Discussion.Mmmmm Hanna kitu hapo yupo chuo halafu anataka msubiri ndo ile historian ya maria
Yaani ndio ujiandae kisaikolojia kabisaa.Mkwe beki wewe mshambuliaj wewe..
Mie nashangaa kwel hata kama kamchepuko kako ndio nkataje kwel mbele yako?
Sasa mke mwema limetokea wapi?Bi shost hebu tuliza mshono acha kuita majina ya watu ki kashifa, mimi ni dume la mbegu sasa unavyoniita kiajabu ajabu nakua sikuelewi. kua na adabu basi