Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

Ndo maana unanyimwa maana hata hujielewi. Huyo binti anavuta good time kumtafuta anayejielewa na kujiongeza. Kwa huyo sahau kuwa naye siku zijazo maana ameshakuona bonge la ki.laza
Hiyo college ya Engineer ndo ipi?
Acha dharau, bas tufanye yameisha maana sio lazima
 
c lazma umuombe sex unaweza ukaendelea kumuomba vitu vingine na maisha yakaendelea...kwan hiyo sex ni unga kwamba ukiikosa kunakua na njaa?....
 
c lazma umuombe sex unaweza ukaendelea kumuomba vitu vingine na maisha yakaendelea...kwan hiyo sex ni unga kwamba ukiikosa kunakua na njaa?....
 
tatizo akigundua kuwa nachepuka ataumia sana... na nadhan ataniacha..na nnampenda sana (in fact hajaonesha anything suspicious mpaka sasa anaonesha mapenzi fresh tyu)..tatzo ni sex tu

mawazo ya ku cheat huwa yananijia na zali kibao napataga..but nkitaka ku act nafsi huwa ina nisuta sana
Remain faithful and wait, she is your woman! Otherwise, you gonna lose her, are you ready to see her going?!!
 
It's obvious juna mwanaume anamuweka busy akija kwako anaona kashachoka tyr..
 
Hiv ni kwel sie hatuelewek achen kutusingzia tunachokitaka mnakijua ila tatzo mnajifanya mna maboresho sana
Wengi wenu kabla hamjapewa mnachokitaka mna machaguo mengi ya nje ndio mana maboresho hayaishi.
 
Huyo mkuu utakula mabua tuu, trust me. Ninauzoefu wa wadada 4 na mtindo ulikuwa huo huo, wa kwanza tunalala hadi asubuhi, unaishia mate na kugusa juu juu kwa mhogo au kidole mwisho wa siku aliniacha solemba kwa kauli hizo hizo za nakutunzia kwa ajili ya ndoa. baada ya miaka 9 kupita nimekutana nae anasema kaolewa.

Ila anajutia kwa kutonipa mzigo na kushindwa kutimiza ahadi yake ya kuolewa nami. Nikamuuliza, huyo aliyekuoa ndio aliyekutoa usichana wako, akajibu kuwa, Hapana walipita 3 ndio huyu wa 4 akanioa. STUPID. Nilitamani kulia. Na ilikuwa kama yako hivyo hivyo, vyuo tofauti na alikuwa mwaka 1 mimi wa 2.

Wa pili nae, ikawa mchezo huo huo ila this time nilikomaa nikafanikiwa ila ikawa ni mzunguko mmoja hataki kuendelea hata baada ya miezi 4 hapo nilikuwa nimeanza kazi mkoa tofauti ila nilikuwa naomba ruhusa kazini namfwata hata kukaa nae week end moja, kuja kushtuka jamaa mwingine anapita bila kuwekewa mizengwe baada ya kuwafuma mubashara.

Hao 2 wa mwisho next time nitakumalizia.

Cha kujifunza ni kuwa, usiumie sana kwanini hakupi. Akikupa sema asante akikunyima relax, kwanini urelax, relax kwasababu bado una muda mrefu mbele hasa kwako wewe kijana wa kiume uliyechuo. Nikimaanisha utoke hapo, utafute kazi, uanze kazi, utajikuta hata yeye kapoteza interest nawewe au wewe ukakutana na mwingine unayehisi ndio sahihi zaidi.

Trust me, ni wadada wachache watabaki kwenye ahadi zao, wengi huwa wanaacha njia na kupotea kwingine. Akiwa chuo au hata kazini akija mkaka mwingine ambaye yupo vizuri na amejiimarisha anang'oa kisiki.

Kuna mjumbe mmoja kasema, tafuta mwingine huyo muandae kuwa mke (kama mtaendelea kuwa pamoja) japo ninaamini ukifanya hivyo, na ukakolea huko huwezi kurudi nyuma na ndio zao la michepuko kwenye ndoa. Ndoa nyingi michepuko yake sio mipya ni ile ya zamani.
Umeshauri sawia. kijana wa miaka 24 bado sana. aandae future yake kwa kujikita kwenye masomo. gharama ya mapenzi ni kubwa sana na wanawake wanabadilika kama vinyonga.....
 
Hizo za kuona bado mnazihamin mpaka enzi hizi utakuta shimo lishakuwa kubwa..
 
Mkuu jiongeze hapo umefanywa kuwa MPENZI MTIZAMAJI .
 
Back
Top Bottom