Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

Ndio maana ctak watoto wadogo ni wabana K sana...nmanawezana hk hk chuoni, afu na ww unasoma chuo gan hicho had unakosa dem mdg wng
 
Wewe mpuuzi kweli, sex is earned and not given, huyo ni mpenzi, sisi tumeoa tunanyimwa na bado hatulalamiki, wewe hata kwao ujaenda unakuja kubwabwaja huku!!!! ningemjua ningemwambia akupige ban kabisa, una haki gani ya kupewa wewe kilaza!
Duh hi hatar sana
 
Hapo sasa wanajifanya wana mahaba kwel kumbe hamna kitu mwakan atakuja na thread hapa aliniambia mpka ndoa kumbe amensalit naomba ushaur
Nan atamshaur hapo
Kuna mmoja huko anaomba ushauri,naye story yake kama hii.....aliambiwa asubiri hadi ndoa saizi binti hamtaki.
 
Wew kama umekula videsa vya Njovu..rock..binamungu..itika..msanjila huyo mtoto ageshafanyiwa yake vikenge . La sivyo wewe ni wa mzumbe secondary hapo juu
Mzumbe sec wajanja si kama Le mutuz
 
Kuna mmoja huko anaomba ushauri,naye story yake kama hii.....aliambiwa asubiri hadi ndoa saizi binti hamtaki.

Yaan hiki ndio kilio kitakachofuata kamwambia tu simtak na jamaa hawez kuish bila yeye
 
Tengeneza mazingira kwanza sio kila siku mnakutana kwenye uwazi wa wingi wa watu
 
Back
Top Bottom