Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Alikua anakuelewa na ulishasoma udhaifu wake. Kuna wanawake pombe inaongeza ashki na haichagui nani wa kumpatia akishalewa.
Huyo gf wa mtoa uzi inaonekana anapenda kunywa ila mtoa uzi anambania. Laiti angejua raha ya kunywa na kuduu mtoa uzi angemuacha bibie ajilewee ila wakiwa wote kama hapendi anywe mbali nae.
Na huyo anaonekana hawezi kucontrol pombe ndo maana anatoa sababu za kijinga kwanini amekunywa. Hao wafanyakazi wenzie na boss itakua wanajipigia maskini akishapiga chupa kadhaa ndo maana wanamshawishi na yeye bila kujua anakubali.
Mumy,we unakunywa but sio wote wako kama wewe,na majority ya mademu wanaokunywa mjini wapo hivyo. Hivi umesoma mazingira ya huyo binti wa muhusika lakini? Ni mazingira hatarishi hao wote anaomnywesha wanamtarget na wamejua she i vulnerable,plus she is rebelliuos,not once but twice anakunywa akijua mpenzi wake hapendi and sababu anayotoa ndio mbaya zaidi mara boss mara mfanyakazi mwenzangu,afu anachukulia easy hajui effect ya hayo majibu kwa mpenzi wake...
Mimi kuna binti I had a fling with,hivyo hivyo alikua na mtu wake ambaye hanywi mi nikawa hapo kama rafiki flani ivi,afu ktk stori zikaanza za pombe nilipita naye bcoz yapombe,maybe kama unavyosema she liked me ila tayari pombe ilichangia kwa kiasi kikubwa because alikua akisema kwamba mie napenda kunywa nasisimka then nikiendaga kwa bae nakunywa kidogo niwe na mzuka,tayari ananipa mimi strong ground ya kumvutia kwa pombe. And so on and so forth. But im sure angekua na sober mind nisingemla asilani alikua loyal. But pombe poombe hehehe. Tayari huyo jamaa anaonekana mshamba or mlugaluga and akiwa na boss au coworker anajiona yuko na kampani nzuri inayomfaa etc.,etc.
But wapo wanaokunywa kistaarabu,akiwa na bae au akiwa na family,female friends,kistaarabu,yani mazingira sio hatarishi like huyo wa jamaa,of which najua ww ndio unavyokunywaga.
 
Wanapendaga kujidanganya kweli. Nina rafiki alikua anakunywa akilewa yeyote twendee. Kama tusipomlinda tunaweza kushtukia ameshaliwa. Akaamua kuacha pombe. Aiseee. Naona bora alivyokua anakunywa alikua anapata kidogo muda wa kukaa na kupiga story na watu. Sasa hivi ndo kama genye zimekua plus plus. Anaweza toroka kazini mchana akanyanduane. Usiku ni lazima anyanduane. Yani anaweza akafanya hata mara 5 kwa siku na bado anakwambia anataka tu. Wakati anakunywa akishalewa tukimlinda anarudi home analala. Sasa hivi genye zake zimekua mbaya kabisa.
Ambao hawanywi ndo hawaliwi
 
Anaonekana anaweza kujinunulia shida ni hao anaokunywa nao sasa. Na jamaa inaonekana hataki pombe kabisa hata ya kunywea ndani.
Sasa kama bwana ake hataki anywee pombe kama huyu na wewe unataka mkalewe woteee...Wee lazima agongekee hata kwa bia mbilii..!Ukimnunulia amarula ndo kabisaaaa....
 
Wanapendaga kujidanganya kweli. Nina rafiki alikua anakunywa akilewa yeyote twendee. Kama tusipomlinda tunaweza kushtukia ameshaliwa. Akaamua kuacha pombe. Aiseee. Naona bora alivyokua anakunywa alikua anapata kidogo muda wa kukaa na kupiga story na watu. Sasa hivi ndo kama genye zimekua plus plus. Anaweza toroka kazini mchana akanyanduane. Usiku ni lazima anyanduane. Yani anaweza akafanya hata mara 5 kwa siku na bado anakwambia anataka tu. Wakati anakunywa akishalewa tukimlinda anarudi home analala. Sasa hivi genye zake zimekua mbaya kabisa.

Namba zake, tafadhali. Fanya fasta....🤣🤣
 
goog confession! Mi kukuruhusu unywe pombe naangalia uwezo wako kuimudu tu,na limit ya ukae hadi sa ngapi ,kama sikidhi mahitaji ya ngono na pesa ,utaliwa tuu
 
Umeshatoa msimamo wako kwamba tayari unamchukia hapa ata ukipewa ushauri hauwezi kuufanyia kazi...
Zaidi zaidi unataka tukufariji.kama unampenda kweli muone haraka sana kabla hajawa konkodi wa pombe anakushindaje akili mwanamke??

Mwanaume ukikosea kuoa unakufa mapema
Mwanamke akikosea kuolewa anaishi kwa tabu.
 
Alikua anakuelewa na ulishasoma udhaifu wake. Kuna wanawake pombe inaongeza ashki na haichagui nani wa kumpatia akishalewa.
Huyo gf wa mtoa uzi inaonekana anapenda kunywa ila mtoa uzi anambania. Laiti angejua raha ya kunywa na kuduu mtoa uzi angemuacha bibie ajilewee ila wakiwa wote kama hapendi anywe mbali nae.
Na huyo anaonekana hawezi kucontrol pombe ndo maana anatoa sababu za kijinga kwanini amekunywa. Hao wafanyakazi wenzie na boss itakua wanajipigia maskini akishapiga chupa kadhaa ndo maana wanamshawishi na yeye bila kujua anakubali.
Thats what am saying yani hapo kupigiwa ni 100000%
 
Ana pepo la ngonoo huyoo
Wanapendaga kujidanganya kweli. Nina rafiki alikua anakunywa akilewa yeyote twendee. Kama tusipomlinda tunaweza kushtukia ameshaliwa. Akaamua kuacha pombe. Aiseee. Naona bora alivyokua anakunywa alikua anapata kidogo muda wa kukaa na kupiga story na watu. Sasa hivi ndo kama genye zimekua plus plus. Anaweza toroka kazini mchana akanyanduane. Usiku ni lazima anyanduane. Yani anaweza akafanya hata mara 5 kwa siku na bado anakwambia anataka tu. Wakati anakunywa akishalewa tukimlinda anarudi home analala. Sasa hivi genye zake zimekua mbaya kabisa.
 
Wanapendaga kujidanganya kweli. Nina rafiki alikua anakunywa akilewa yeyote twendee. Kama tusipomlinda tunaweza kushtukia ameshaliwa. Akaamua kuacha pombe. Aiseee. Naona bora alivyokua anakunywa alikua anapata kidogo muda wa kukaa na kupiga story na watu. Sasa hivi ndo kama genye zimekua plus plus. Anaweza toroka kazini mchana akanyanduane. Usiku ni lazima anyanduane. Yani anaweza akafanya hata mara 5 kwa siku na bado anakwambia anataka tu. Wakati anakunywa akishalewa tukimlinda anarudi home analala. Sasa hivi genye zake zimekua mbaya kabisa.
Anaishi na mwanaume huyo rafiki yako anayelewa wa yeyote twende baada ya kulewa?
 
kwani pombe ina tatizo? Anyways Pombe haikuumbwa kwa ajili ya mwanamke, akianza kutumia tu basi kawa mwanaume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom