Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Aisee kama ni kweli basi pole sana. Na ninahisi Kuna watu wanamdanganya aachane na wewe kwa njia ya pombe. Na sijui sababu za yeye pia kutaka umuache. Ila mwisho Wa watu Wa aina hiyo huwa ni majuto na kukukumbuka. Na kama ni serious issue ameanza kunywa hivyo basi kaa uongee nae kwa kina sana juu ya mlikotoka,ulivyomchukulia na sasa unavyojisikia. Akishindwa kuacha shirikisha ndugu zake Wa karibu anaowaheshimu sana. Ikishindikana hapo shirikisha wazazi/walezi wake. Ikishindikana hapo achana nae kwa sababu mwanamke anaekunywa pombe tena kibaya mumewe hanywi pombe ni vigumu sana sana sana sana au haiwezekani kujisimamia,hivyo atageuka kuwa ni mwanamke rahisi sana kufanya mapenzi nje ya ndoa yake tena na wanaume wengi wengi.
 
Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..

Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..

Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
niachie mimi uyo dem, au akiwa anataka kwenda bar nambie niwe nampitia, ntakua nakulindia bwana mlokole, japo nawe niombee shetani asinipitie nikapita nae
 
Back
Top Bottom