Yaani hizi chips zipigwe marufuku yaani wanaume wamekuwa nyoro nyoro sana ,sasa ndo mambo ya kuanzi sha uzi haya ,hizi korosho zitabanguliwa kweli ? Mkuu mimi binafsi naangalia mwanamke yukoje nawajua wengi wanalewa na wanajiheshimu ,na najua kukaa na mwanamke mnywaji ila sio mlevi ,ila kwa wewe umesema ni mchumba afu amejifunza pombe bila ruksa yako hivi kahaba wa hovyo huyo unapeleka wapi,mkuu mungu ana njia nyingi za kujibu maombi moja ni mwanamke kufanya amuzi kubwa bila kukushirikisha mm nshawahi acha mwanamke kwa kosa la kuchora tatoo tu,kosea ujenzi usikosee kuoa