Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..

Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.

Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.

Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..

Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
nipe namba zake huyo hana gharama bia mbili tu analewa huyo raha sana,
 
Kaka hapo tayarii...kaishaliwa na sio mara moja,
Mie ni mnywaji sio mlevi but naijua pombe vizuri.....inaleta Genyee hatari.....
 
Kuna kunywa na kuna ulevi,mwanamke kunywa siyo tatizo,kama ananywea nyumbani,anakunywa karibu na ndugu na marafiki wanaoheshimiana,au tunakunywa pamoja,cha muhimu ni kuzijua tabia zake vuzuri,kitu nisichokubaliana nacho ni mwanamke kurudi umelewa ukitegemea mimi nikufungulie mlango,haki ya mungu utalala nje.
 
Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..

Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.

Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.

Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..

Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
Hamta elewana mkuu ,inaonekana anapiga ngano toka kitambo sema na wewe umezubaazubaa sana,mbona wangu mpaka bhangi na unga sikumojamoja anashtua na maisha yanaendelea.
 
Demu mnywaji bwana hata amnaga kumuomba mPapa,unamuambia "nataka nikuibe siku nikakulewesheeeeeeeeee hadi ushindwe kutembea" hapo tayari mwili umemsisimka,afu atakuuliza nikishindwa kutembea utanibeba wewe afu unamwambia usiofu tutalala hukohuko,yani shetani linamwambia kubali demu anakubali. Yani demu wa hivyo mazingira na probability za kutiwa ni 100000000000000000000000000000000 kuanzia za kubakwa adi za kupandwa mwenyewe nyege. Mwache tu bro,we move on huyo hata hakusikilizi na she doesnt give a damn about your feelings concerning her drinking.
 
Haki ya Mungu sio adabu pia. Unamuacha mwanaume ndani unaenda kulewa? Kwanza raha unywe na bby pembeni. Labda iwe kwenye sherehe ila kutoka tu na bby yupo hapana
Kuna kunywa na kuna ulevi,mwanamke kunywa siyo tatizo,kama ananywea nyumbani,anakunywa karibu na ndugu na marafiki wanaoheshimiana,au tunakunywa pamoja,cha muhimu ni kuzijua tabia zake vuzuri,kitu nisichokubaliana nacho ni mwanamke kurudi umelewa ukitegemea mimi nikufungulie mlango,haki ya mungu utalala nje.
 
Huyo anakua anakutamani sasa akiwaza na pombe juu anakataaje?.. yani mtu hana hisia na wewe akakupe papa kisa umemuahidi pombe? Atakua shamba wa pombe huyo kama analiwa kwa nunuliwa pombe.
Demu mnywaji bwana hata amnaga kumuomba mPapa,unamuambia "nataka nikuibe siku nikakulewesheeeeeeeeee hadi ushindwe kutembea" hapo tayari mwili umemsisimka,afu atakuuliza nikishindwa kutembea utanibeba wewe afu unamwambia usiofu tutalala hukohuko,yani shetani linamwambia kubali demu anakubali. Yani demu wa hivyo mazingira na probability za kutiwa ni 100000000000000000000000000000000 kuanzia za kubakwa adi za kupandwa mwenyewe nyege. Mwache tu bro,we move on huyo hata hakusikilizi na she doesnt give a damn about your feelings concerning her drinking.
 
Huyo anakua anakutamani sasa akiwaza na pombe juu anakataaje?.. yani mtu hana hisia na wewe akakupe papa kisa umemuahidi pombe? Atakua shamba wa pombe huyo kama analiwa kwa nunuliwa pombe.
Sasa kama bwana ake hataki anywee pombe kama huyu na wewe unataka mkalewe woteee...Wee lazima agongekee hata kwa bia mbilii..!Ukimnunulia amarula ndo kabisaaaa....
 
Mkuu achana na huyo demu hapo Ukimwi Nje nje...Kugongewaa ndo uhakika asilimia 10000000000000... Maendeleo F kabisaa...Ugomvi kama woteee kila sikuuu...Mbaya zaidi itabdi uwe unaenda kumbeba baa akilewa na hapo wahuni washamla na tigoo...
 
Demu mnywaji bwana hata amnaga kumuomba mPapa,unamuambia "nataka nikuibe siku nikakulewesheeeeeeeeee hadi ushindwe kutembea" hapo tayari mwili umemsisimka,afu atakuuliza nikishindwa kutembea utanibeba wewe afu unamwambia usiofu tutalala hukohuko,yani shetani linamwambia kubali demu anakubali. Yani demu wa hivyo mazingira na probability za kutiwa ni 100000000000000000000000000000000 kuanzia za kubakwa adi za kupandwa mwenyewe nyege. Mwache tu bro,we move on huyo hata hakusikilizi na she doesnt give a damn about your feelings concerning her drinking.
Hao Malaya tu,malaya hata soda,juice,akitaka kukupa anakupa tu hata ukimwambia twende nyuma ya kanisa atakupa tu,kwa mwanamke anayejitambua pesa ya kinywaji siyo issue, issue ni kula good time,kuna Malaya swala tano na pombe hawajawahi kugusa lakini akikufeel hata baibui ni hijab anavua.
 
Jamani nikiingia inbox naambiwa no private messages wakati icon ya SMS inaonyesha kuna message zimeingia. Tatizo laweza kuwa nini,mana nashindwa hata kuona hzo sms
 
Huyo anakua anakutamani sasa akiwaza na pombe juu anakataaje?.. yani mtu hana hisia na wewe akakupe papa kisa umemuahidi pombe? Atakua shamba wa pombe huyo kama analiwa kwa nunuliwa pombe.
Mumy,we unakunywa but sio wote wako kama wewe,na majority ya mademu wanaokunywa mjini wapo hivyo. Hivi umesoma mazingira ya huyo binti wa muhusika lakini? Ni mazingira hatarishi hao wote anaomnywesha wanamtarget na wamejua she i vulnerable,plus she is rebelliuos,not once but twice anakunywa akijua mpenzi wake hapendi and sababu anayotoa ndio mbaya zaidi mara boss mara mfanyakazi mwenzangu,afu anachukulia easy hajui effect ya hayo majibu kwa mpenzi wake...
Mimi kuna binti I had a fling with,hivyo hivyo alikua na mtu wake ambaye hanywi mi nikawa hapo kama rafiki flani ivi,afu ktk stori zikaanza za pombe nilipita naye bcoz yapombe,maybe kama unavyosema she liked me ila tayari pombe ilichangia kwa kiasi kikubwa because alikua akisema kwamba mie napenda kunywa nasisimka then nikiendaga kwa bae nakunywa kidogo niwe na mzuka,tayari ananipa mimi strong ground ya kumvutia kwa pombe. And so on and so forth. But im sure angekua na sober mind nisingemla asilani alikua loyal. But pombe poombe hehehe. Tayari huyo jamaa anaonekana mshamba or mlugaluga and akiwa na boss au coworker anajiona yuko na kampani nzuri inayomfaa etc.,etc.
But wapo wanaokunywa kistaarabu,akiwa na bae au akiwa na family,female friends,kistaarabu,yani mazingira sio hatarishi like huyo wa jamaa,of which najua ww ndio unavyokunywaga.
 
Hao Malaya tu,malaya hata soda,juice,akitaka kukupa anakupa tu hata ukimwambia twende nyuma ya kanisa atakupa tu,kwa mwanamke anayejitambua pesa ya kinywaji siyo issue, issue ni kula good time,kuna Malaya swala tano na pombe hawajawahi kugusa lakini akikufeel hata baibui ni hijab anavua.
Mie naongelea demu wa aina ya demu wa mleta mada. Tayari anampa mwanaume ticket,plus bwanaake hanywi,wengine sio malaya bro,but pombe inamuaffect akili zake,si tunaona wanalewa anakua mcharuko anavua nguo,wakat akiwa ajalewa ni mpole na hawezi kufanya alioyafanya akiwa amelewa.
 
Back
Top Bottom