Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

Kwa sie wenye mashosti kuna hatari kama shiogako amekuwa akimmendea shem wake basi ah anaomba simu atume sms kwa ndugu yake kumbe anatafuta namba ya mr wako.

Kwanza ajaribu aone cha mtema kuni, ila mie nimekuta kani-save My XXL sijui ni manyama uzembe yamenizidi
 
shauri yako.....hahaaaaaaaa

biggy hivi mama Matesha akiona umemsevu kam Zombe wat wil b ze justification????

Si mpaka aijue pasiwedi ya simu yangu?
Simu yangu ina aleji ya kushikwa na mai waifu wangu!
 
weeeee Masaki usijifanye hujui!!!! ataaanza tu oooh shem hivi shem vile. mara btw nimekumis shem wangu ....sijui ninii niniiii.......

Okay sasa nimeshajua, kwa hiyo nikipata vijimeseji vya aina hiyo toka kwa shemeji yangu basi nielewe kuwa ananitaka...!!! Duh! Aisee mimi kumbe bado mgeni na mambo ya hapa mjini!! Ndio tabu ya kukulia Kilosa! :)
icon10.gif
 
hahaaaa kwenda zako!!!! afu mafuriko huko sijui umeshaenda kuwaona wazee!!! mwenzio wikend nlikua huko!!!

sheji nimekumis jamani!!!! shemeji leo wapi?? ......inahusu!!! si amuulize mkeo ndo shoga yake!!!
 
Ndio maana mimi huwa nasema mara nyingi ukiona mtu na shemeji yake wameonjana basi mara nyingi mwanamke ndiye huwa anakuwa kaanzisha mitego! :) Na wanaume wengi ni wadhaifu sana linapokuja suala la kutegwa na mwanamke! Take my words! :)
 
Kama si kuongozwa na ROHO WA MUNGU,
Rafiki zake waifu kama watatu hivi
Wafanyakazi wenzake wawili
Mdogo wake mmoja
MILA INGEDUMISHWA NAO.
Shindwa shetani!
 
Ndio maana mimi huwa nasema mara nyingi ukiona mtu na shemeji yake wameonjana basi mara nyingi mwanamke ndiye huwa anakuwa kaanzisha mitego! :) Na wanaume wengi ni wadhaifu sana linapokuja suala la kutegwa na mwanamke! Take my words! :)

mimi ni mwanamke na nakuunga mkono kwa ulichosema Masaki. kwa kiwango kikubwa hiyo ndio huwa sababu!!!!!!
 
Back
Top Bottom