MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Masaki usishangae oh baada ya muda unakujawakuta pamoja wanapata lunch huku shoga akijitia "Sikujua kama shem naye huwa anakuja kiwanja hiki. Nimefurahi kweli kumkuta hapa ndo nilikuwa natoa simu nikuite utujoin"Mmmhh!! Halafu anaanzaje kumtongoza mume wa shosti wake? 🙂