Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

haya mambo bana kama humtaki mtu heri tu umwambie......dah jina baya sana hili kumpa mtu yeyote

sasa wewe mtu mzima ulitakiwa umwambie umeshajijua weye ni kinyesi kwake ndio uondoke! kuondoka kimyakimya halafu unakuja kutuomba sisi ushauri inaonyesha wewe ni dhaifu sana
 
mi nainjoy sana nnapoona jina halisi la mpz wangu kwenye simu, nshajaribu kumsave sweet but nikawasifurahii nikaona bora nichenji tu...
ye kanisev sty nkafurahi lakini ktk pekuapekua nkaona notebook yake kaandika namba za simu yangu kaandika stationary kwavile tulimeet huko asa sijui ndo na kwny simu inamaanisha hivyo au, kwavile nliibia tu kukagua hata sijauliza.
 
Back
Top Bottom