Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

Thread inakwendaje naona sielewi mtiririko mzima wa off topic
 
live bila chenga during lunch hour!!! and it will be granted as far as haivunji sheria za Mungu au za njii hii!!

Mtadumisha tu ile sheria iliyo kuu kuliko zote!!
TUPENDANE....je ?Mtapendanaje bila kuonyeshana
matendo ya mapendo?
 
Kwa nini wadada wengi wanapenda kuanzisha uhusiano wa kumegana na shem zao maana mm kuna jamaa kila nikimtambulisha huyu ndo shem wako lazima dada afanye juu chini atembee na rafiki yangu hii ni kwa nn?

Sijaelewa hapa? Anayefanya juuu chini ni dada yako au girfriend/mkeo? Maana tatizo neno shemeji ni UNISEX, linatumika kwa jinsia zote mbili. Ndio maana sijaelewa hapo!
 
Mtadumisha tu ile sheria iliyo kuu kuliko zote!!
TUPENDANE....je ?Mtapendanaje bila kuonyeshana
matendo ya mapendo?

Skulmeti wa bwanaharusi nimekugongea senksi kwa kuyajali maslahi yangu.
 
Sijaelewa hapa? Anayefanya juuu chini ni dada yako au girfriend/mkeo? Maana tatizo neno shemeji ni UNISEX, linatumika kwa jinsia zote mbili. Ndio maana sijaelewa hapo!

Yaani hawa wapenzi wangu lazima jamaa awamege akisha mega mm namwachia sitaki ugomvi.
 
Vipi tena, mbona masharti yanaanza?

ya kawaida tu hata bahati nasibu zinawekewa masharti na vigezo mbona???

Mtadumisha tu ile sheria iliyo kuu kuliko zote!!
TUPENDANE....je ?Mtapendanaje bila kuonyeshana
matendo ya mapendo?

mbona unamwekea maneno mdomoni naw binamu???? kwani ndo alichotaka kuomba??
 
ehee pole mwaya lakini likizo ni afya maana haya makitu ukiyaendekeza hukawii kujikuta unaokota makopo na kupiga soga na upepo barabarani ati- ah mie yeshanishindaga zamani

Noted With Many Thanks!
 
ehee pole mwaya lakini likizo ni afya maana haya makitu ukiyaendekeza hukawii kujikuta unaokota makopo na kupiga soga na upepo barabarani ati- ah mie yeshanishindaga zamani

hahaaaa mweee!!! kweli kabisa tamu unaiona chungu in the name of love khaaaaaa!!!! life is so precious ya nini mtu ukae unasononeko la moyo!!!!
 
ya kawaida tu hata bahati nasibu zinawekewa masharti na vigezo mbona???

mbona unamwekea maneno mdomoni naw binamu???? kwani ndo alichotaka kuomba??

Nalipendaga sana hilo neno kwenye red hapo. Sijui kwanini?
 
Yaani hawa wapenzi wangu lazima jamaa awamege akisha mega mm namwachia sitaki ugomvi.

Basi hapo anayeanzisha ''move'' ni huyo so called rafiki yako, siyo wanawake! Haiwezekani wanawake zako wote wawe wanamzimikia yeye tu!

BTW; kwanini bado unaendelea kuwa na urafiki na mtu wa aina hiyo? Na inakuwje unaendelea kumtambulisha kwa wapenzi wako? Au unachukulia poa tu yeye akiwamega?
 
Back
Top Bottom