Sahihi kabisa mkuu. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana tena wale wanaopendwa na kutunzwa kwa dhati ndio wenye nyodo nyingi sana.Uyo sio Ke wa kufanya nae maisha, umefanya maamuzi sahihi sana. KE akiniwekea ugumu ili nimfanyie kitu fulani namuona sawa tu na muuzaji.
Atakuja kushtuka ameshapoteza kila kitu, huyo nia yake ni kukutumia kuweka mambo yake sawa hana upendo.Sahihi kabisa mkuu. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana tena wale wanaopendwa na kutunzwa kwa dhati ndio wenye nyodo nyingi sana.
masaa 2 unayajua mkuuNamkojoza hadi ananiomba nishuke chini maana nina kawaida ya kukaa kifuani zaidi ya masaa 2 lakini wanawake ni kawaida yao; hawaridhiki hata uwape nini (by Dr Mwaka).
Kweli kabisa mkuu; yupo kimaslahi zaidi hana upendo wa dhati kwangu. Afadhali nimemshtukia mapema kabla hajanipotezea muda mwingi. Ngoja nitafute mpenzi muelewa na anayejua thamani ya kupendwa, mbona wapo wengi tu humu mitaani. Kwanini ninganganie huyu kiruka njia.Atakuja kushtuka ameshapoteza kila kitu, huyo nia yake ni kukutumia kuweka mambo yake sawa hana upendo.
Kila la heri mkuuKweli kabisa mkuu; yupo kimaslahi zaidi hana upendo wa dhati kwangu. Afadhali nimemshtukia mapema kabla hajanipotezea muda mwingi. Ngoja nitafute mpenzi muelewa na anayejua thamani ya kupendwa, mbona wapo wengi tu humu mitaani. Kwanini ninganganie huyu kiruka njia.