Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,432
- 104,253
Yupi huyo jamaa aliyeoa na kupandishwa cheo? 😹😹😹Lamomy una hamu ya ngono unaandama watu humu mimi sio da mau wenu ambaye anahangaika na watu kama wewe ambao akili hawana . Sio hilo tu huna future .....
Huna class hujielewi
Kazi masifa ya sio na mpango hadi leo .....
Yule jamaa uliyemuonga kashaoa kapandishwa cheo kaoa ..
Mimi ni mtu.mzima hii msg ni ya mwisho nimekuignore kaa usijitambue umri unaenda humu humu wenzako wameshazalishwa wote walio group lako
Da Mau Sikia mi sihongi ogopa matapeli, ukiona namuhonga mwanaume ujue kesho siamki. Wakinga tuna mizimu mikali inakunyonga chap!!
Bora umekubali wewe ni mtu mzima, ndo uache kutafutiza mifugo mipya (virusi) na dawa unywe usiwe unaacha utatoka majipu..!!
Watoto sitaki, uliowazaa wewe wakiniita mamdogo inatosha. Mamdogo naye si mama? 😹😹😹