Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa “I’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
😂😂😂😂Nimechek had nimepaliwa
 
Mi nimewaambia watengeneze couple itabamba nikashangaa wameanza kuchambana kabla hata kabla hawajaishi pamoja..!! 😹😹😹

Da Mau na Chiwawa wanafanana kila kitu kasoro miandiko..!! 😹😹
Naunga mkono hoja.

Hadi ulalamishi wako sawa kabisa , na kujiona hawana makosa 😂
 
Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa “I’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
akivua samaki wa jf mpaka yesu aje mtumbwini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom