Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa “I’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
Kumbe hiki kiumbe ndiye unique flower , maana nilikuwa nahisi tu toka zamani kuwa ni mentally unhinged 😂

Bhaas imeisha ngoja nimuite Mr loose Nut de Nyangwisi aje ajiokotee Loose balls 😆
 
ni kweli ila sasa utanipa nini nikupendee nisione wengine
Ngoja nifikirie kwanza
IMG_20261102_210843.jpg
 
Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa “I’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
SHida kubwa huwaga nini unahangaika na majina yako ya ajabu umri hata wewe umesonga kushinda hata mimi ila unahangaika nawenzako kama umewaumba dada mimi sikujui nasina shida na wewe roho yako inaumia nikipendwa utalijua jiji .
Huyo dada maua sijui nani ai anakuumiza sana acha kumuhangaikia hujaolewa hujazaa huna ndoa kazi yajo kubwa ni kuhonga wanaume tu na kuwa nakupenda attention wanaongea hivyoo ni wataje .
 
Mwaya mie simtaki mtu wa jf mie na mtu wangu nanimeridhika naye na mimi sio kichaa ni mtu na maisha yangu .
Na asante kwa matusi yako eti mii niloose nuts ??
Mwanaume mtu mzima unamdis mwanamke . Hii ni hatari sijui wewe kwako unaishije??
NA matani na mtu mmoja tu sina shida na wengine
 
SHida kubwa huwaga nini unahangaika na majina yako ya ajabu umri hata wewe umesonga kushinda hata mimi ila unahangaika nawenzako kama umewaumba dada mimi sikujui nasina shida na wewe roho yako inaumia nikipendwa utalijua jiji .
Huyo dada maua sijui nani ai anakuumiza sana acha kumuhangaikia hujaolewa hujazaa huna ndoa kazi yajo kubwa ni kuhonga wanaume tu na kuwa nakupenda attention wanaongea hivyoo ni wataje .
Da Mau tulia, Punguza presha kunywa maji kwanza okay? 😹😹

Wewe age go bana mrudie muumba wako, we kila siku una pirika za wababu mara umerogwa…!! Nini shida?

Afu mi winga pesa za kuhonga nazitoa wapi? 😹
Labda unipe hao mababu zako hata mmoja anihonge au we unasemaje? (Lakini asiwe mchawi sasa 😹)
 
Kumbe ukidate na mtu wa jf haiwi siri tena?

Basi ni kheri niache mara moja.... Maana hakuna siri humu, alaf wanawake wa jf ikifika muda mkaambiwa ni wabovu, naanza kulia lia, na drama kumbe ndo nyie wenyewe mnafanya, na picha mnavujisha wenyewe!
😹😹😹 Chiwawa afu we na da Mau mna match ujue..!!

Fanya basi muwe couple humu JF
 
Kumbe ukidate na mtu wa jf haiwi siri tena?

Basi ni kheri niache mara moja.... Maana hakuna siri humu, alaf wanawake wa jf ikifika muda mkaambiwa ni wabovu, naanza kulia lia, na drama kumbe ndo nyie wenyewe mnafanya, na picha mnavujisha wenyewe!
Sijavujisha wewe kwani unamjua humjui ningemsema ungesema mie mbovu mi ni mtu mzima niwe mzuri au mmbovu ni mimi nafuu wewe sio mbovu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom