Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Huu ushauri au maoni? 😹

Chiwawa kama kuna mtu anahitaji therapist wewe ni wa kwanza 😹

Una kila aina ya trauma mpk Mello mwenyewe anakushangaa!!
Hajawahi kumiliki member kichaa kama wewe ujue toka aanzishe JF 😹😹
Hivi unafikiri hawajui kuwa wewe ndiye mtu unaye sumbua member kila siku humu?

Unafikiri hawajui drama zako za kijinga?
. Trust me they know, nilipigwa ban ya miezi 6 na wamechunguza wakaona tatizo sio mimi, ndo maana ban iko lifted.. Ni ID kama zako ambazo hazina utulivu jukwaani.

Hata wanawake humu, wanajua fika wewe ni mbeya, mchokonozi, una wa bully, unawa undermine na kuwafanyia gaslighting.....

Jitafthmini, kama uko above 25 yrs, inabidi hii tabia uache ni utoto na ujinga tu.

Ni hayo tu am never going to tell you anymore. Kama umesikia safi. Hata siku hizi umeona nikiku entertain? Hapana kwasabu I know, ni ujinga tu hata matani yenyewe hayana limits.
 
Fikiria tu id ya kwanza inamsema mtu vibaya inakuja ingine inampondea mtu huyo huyo naingine haushangai ni mtu analog in and log out ipo siku utaelewa id's zote za kusema watu vibaya na kuwaona low people ni Lamomy
😹😹😹😹😹😹😹😹 Kweli ARV zimedunda awamu hii..!!

Kwahiyo hizo ids zote zangu?

Em Kwendraaa huko, hasira zako za kumkumbuka kibabu chako usiniletee mie..!! 😹😹
 
Maandishi yako unayakagua kabla hauja post? Maana ni kama hayaeleweki
Halafu unasema humu kuna mashangazi waliojichokea ngoja nikuambie ukweli humu kuna wa mama wanahela wanaheshima hawana makuu ila wanaogopa kuumizwa na hawana mahusiano. Endelevu ila kuwapata ndio shida .
Halafu shida ya wanaume wa jf wengi wanataka malaika na wao hawana vigezoo , wanasura mbaya na wenye sura nzuri ni mariooo sasa huoni ni tabu mf. Akaja mtu ananipenda humu sijasema wewe hapana .

Ila kwangu no wasted of time
 
Hivi unafikiri hawajui kuwa wewe ndiye mtu unaye sumbua member kila siku humu?

Unafikiri hawajui drama zako za kijinga?
. Trust me they know, nikipigwa ban ya miezi 6 na wamwchunguza wakaona tatizo sio mimi, ndo maana ban iko lifted.. Ni ID kama zako ambazo hazina utulivu jukwaani.

Hata wanawake humu, wanajua fika wewe ni mbeya, mchokonozi, una wa bully, unawa undermine na kuwafanyia gaslighting.....

Jitafthmini, kama uko above 25 yrs, inabidi hii tabia uache ni utoto na ujinga tu.

Ni hayo tu am never going to tell you anymore. Kama umesikia safi. Hata siku hizi umeona nikiku entertain? Hapana kwasabu I know, ni ujinga tu hata matani yenyewe hayana limits.
Kwahiyo bibi na bwana wote mmenigeukia mimi? 😹😹
Mi nguvu sina mtaniua nyie vichaa mjue!

Em walete wote waliokuletea mashtaka waseme wenyewe, usiwasemee..!!

Halafu mi hata sikujua km ban yako iko lifted, nini kilitokea??

Huwa nakuta tag kwenye nyuzi zako mara nyingi ndo nakuja wala sikufatilii..!! Usitake kujipa umuhimu huo chiwa

Tena zingine ni wewe mwenyewe unanitag au unajisahulisha?? 😹😹
 
😹😹😹😹😹😹😹😹 Kweli ARV zimedunda awamu hii..!!

Kwahiyo hizo ids zote zangu?

Em Kwendraaa huko, hasira zako za kumkumbuka kibabu chako usiniletee mie..!! 😹😹
Aisee... Inachekesha na kuhuzunisha
 
Halafu unasema humu kuna mashangazi waliojichokea ngoja nikuambie ukweli humu kuna wa mama wanahela wanaheshima hawana makuu ila wanaogopa kuumizwa na hawana mahusiano. Endelevu ila kuwapata ndio shida .
Halafu shida ya wanaume wa jf wengi wanataka malaika na wao hawana vigezoo , wanasura mbaya na wenye sura nzuri ni mariooo sasa huoni ni tabu mf. Akaja mtu ananipenda humu sijasema wewe hapana .

Ila kwangu no wasted of time
Mhmmmm!! Da Mau toka lini umekataa? 😹😹

Hii ni UONGO 😹
 
Halafu unasema humu kuna mashangazi waliojichokea ngoja nikuambie ukweli humu kuna wa mama wanahela wanaheshima hawana makuu ila wanaogopa kuumizwa na hawana mahusiano. Endelevu ila kuwapata ndio shida .
Halafu shida ya wanaume wa jf wengi wanataka malaika na wao hawana vigezoo , wanasura mbaya na wenye sura nzuri ni mariooo sasa huoni ni tabu mf. Akaja mtu ananipenda humu sijasema wewe hapana .

Ila kwangu no wasted of time
Sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom