Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Mpenzi wa zamani (My LOVE)

leo dada hata wewe unasema mie sijui naitwa da mau??
Mimi nilifananisha comment nikajifanya na mie mchambuzi wa id za jf ndo ujuaji wangu ukakufananisha hivyo

Ndio nani??
Halafu mwenzako kinamuuma anachanganyikiwa akiona tunahongwa na yeye anahonga lazima akili isome .
YEye ni head offficer wa jamii forum ni yeye akubali hatima yako hukuhii ni maajabu
Hayo yote tuachane nayo tu deal na kusaka mabwana wenye pesa, tujuwe kuwapagawisha watoe sasampa
 
adriz uhali gani ??
Jana uliropoka sana sijui sina akili kosa sijui ni id ya dada maua sijui halafu huyo dada ni mimi kwa hiyo ulijua tu mimi hamnazo.
Firstly , unanijua vizuri umenionea wapi .
Secondly, mf.nikachukua hiki ulichokiandika nikapeleka mahakamani ukiweke ushahidi kuwa mimi nikichaa unayo makaratasi ??
Sema tu ...
Mimi sijawahi kukufuata nakukuonyesha nakutaka hapana .
Jingine wewe ndio mazoea umeyaanza kwangu nikashangaa ila nikaona ngojaa niitikie basi.

Wewe ni mjinga kwanini unahangaika na maisha yamtu humjui halafu mbaya zaidi unahangaika na mwanamke hadi picha umetoa eti ni mimi nafanana na huyo baba what are you implying??

Chakushangaza sijakufuata umenifuata wewe halafu unaongea wewe na kichaa wa humu mimi ninachoshangaa nimekuwa treated to all of stupid people in here including you.

Acha mazoea basi kaa kimya usiendele na ujinadi unanimudu .

Wafuate walionaakili ambao unawajua .
Kwa sasa jione unaright but tomorrow nitahitaji ushahidi kwa hili.
 
Wewe ndio haupo sawa wewe huwaga unaona wenzako sio watu ni low class au hawafai kuwa hai wewe ndio unafaa eti bikra ni lazima kwani hadi sasa upo na wangapi hawana na unawahonga

Mimi nikitaka bikira wewe inakudhuru wapi?
Subiri wasiotaka bikira wapo wengi sana watakuchukua tuu usijali.

Mtazamo wako unakudhuru vipi wewe. Kwani unanijua? Unakupunguzia kipato? Unakupunguziwa nini hasa?
 
adriz uhali gani ??
Jana uliropoka sana sijui sina akili kosa sijui ni id ya dada maua sijui halafu huyo dada ni mimi kwa hiyo ulijua tu mimi hamnazo.
Firstly , unanijua vizuri umenionea wapi .
Secondly, mf.nikachukua hiki ulichokiandika nikapeleka mahakamani ukiweke ushahidi kuwa mimi nikichaa unayo makaratasi ??
Sema tu ...
Mimi sijawahi kukufuata nakukuonyesha nakutaka hapana .
Jingine wewe ndio mazoea umeyaanza kwangu nikashangaa ila nikaona ngojaa niitikie basi.

Wewe ni mjinga kwanini unahangaika na maisha yamtu humjui halafu mbaya zaidi unahangaika na mwanamke hadi picha umetoa eti ni mimi nafanana na huyo baba what are you implying??

Chakushangaza sijakufuata umenifuata wewe halafu unaongea wewe na kichaa wa humu mimi ninachoshangaa nimekuwa treated to all of stupid people in here including you.

Acha mazoea basi kaa kimya usiendele na ujinadi unanimudu .

Wafuate walionaakili ambao unawajua .
Kwa sasa jione unaright but tomorrow nitahitaji ushahidi kwa hili.
Salama Dada sijui wewe , hili gazeti lako kimenichekesha sana , I find this amusing 😂

Jf ni sehemu ya mizaha ukichukulia seriazi kila kitu hapa Jf utajitafutia stress za bure , binafsi siwezi kuchukulia personal mambo ya fake ID kiasi cha kuumizwa sana mpaka Kuja na povu kiasi hiki ulichotoa. Na ukichunguza post zangu nyingi za mizaha sikuwa siriazi

Je , kwa nini nimekuwa nakuletea mizaha wewe humu Jf nowadays ?

Ukiwa mhalifu kuwa na kumbukumbu, unakumbuka uliniletea mizaha tena kwenye Imani yangu binafsi uliniTag na kuniMock nikakausha bila kukujibu , Sasa kwa nini nimeanza kukutania wewe kidogo tu unakuja na gazeti

VAR

Haya sio masihara uliyoniletea eti nikabatizwe , unajua ulinikwaza kiasi gani nikakupuuza ?

Hapa nilikuwa sikujui na sina matani na wewe


IMG_20261103_183143.jpg


Nikisema niwe seriazi na wewe Kukumock kama ninavyodili na Manyangwisi wakina Maghayo loose Nut si utaniona mbaya kabisa maana nakuwa mkatili siwi simple hata kidogo .

Bahati nawaheshimu sana Wanawake, misimamo wangu sipendi ugomvi ، mizozo na kuwadhalilisha Wanawake ila ulivyoAttack Mimi personal na Imani yangu ingekuwa Mwanaume ingekuwa tayari nishafungulia Ballistic missiles zangu kama mvua vile
 
Mimi nikitaka bikira wewe inakudhuru wapi?
Subiri wasiotaka bikira wapo wengi sana watakuchukua tuu usijali.

Mtazamo wako unakudhuru vipi wewe. Kwani unanijua? Unakupunguzia kipato? Unakupunguziwa nini hasa?
Sijasema unichukue kwa ziki gani niliyonayo nikukubali hahaaa humu mnaona watu wanAshida ya wanaume eh . Ukibakia wewe tu duniani watu wengi watabakia single kwanza huna hela pili unaringa sana .
Kwa mwanamke anayejitambua kukubalia ndoto
 
Salama Dada sijui wewe , hili gazeti lako kimenichekesha sana , I find this amusing 😂

Jf ni sehemu ya mizaha ukichukulia seriazi kila kitu hapa Jf utajitafutia stress za bure , binafsi siwezi kuchukulia personal mambo ya fake ID kiasi cha kuumizwa sana mpaka Kuja na povu kiasi hiki ulichotoa. Na ukichunguza post zangu nyingi za mizaha sikuwa siriazi

Je , kwa nini nimekuwa nakuletea mizaha wewe humu Jf nowadays ?

Ukiwa mhalifu kuwa na kumbukumbu, unakumbuka uliniletea mizaha tena kwenye Imani yangu binafsi uliniTag na kuniMock nikakausha bila kukujibu , Sasa kwa nini nimeanza kukutania wewe kidogo tu unakuja na gazeti

VAR

Haya sio masihara uliyoniletea eti nikabatizwe , unajua ulinikwaza kiasi gani nikakupuuza ?

Hapa nilikuwa sikujui na sina matani na wewe


View attachment 3704051

Nikisema niwe seriazi na wewe Kukumock kama ninavyodili na Manyangwisi wakina Maghayo loose Nut si utaniona mbaya kabisa maana nakuwa mkatili siwi simple hata kidogo .

Bahati nawaheshimu sana Wanawake, misimamo wangu sipendi ugomvi ، mizozo na kuwadhalilisha Wanawake ila ulivyoAttack Mimi personal na Imani yangu ingekuwa Mwanaume ingekuwa tayari nishafungulia Ballistic missiles zangu kama mvua vile
Kwa hiyo kikakuuma nimeelewa
 
Muandiko ni ule ule wa kuchanganya herufi , kutojua kuandika kiswahili vizuri . Kulalamika hovyo na muda mwingine anakomenti na Kureply kama vile hajasoma au kuelewa vizuri 😂

Unaonaje umgawe kwa Chiwawa haitakuwa Couple bomba ?😎
Mi nimewaambia watengeneze couple itabamba nikashangaa wameanza kuchambana kabla hata kabla hawajaishi pamoja..!! 😹😹😹

Da Mau na Chiwawa wanafanana kila kitu kasoro miandiko..!! 😹😹
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom