cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,734
- 203,645
😂😂😂😂Da Mau kagoma kufanya ibada bado anataka kudanga..!! 😹😹😹
😂😂😂😂Da Mau kagoma kufanya ibada bado anataka kudanga..!! 😹😹😹
Unatoa assist kwa babe wako 😹😹Aiseee naona makombora tu
😹😹😹 Huyo kichaa chake mi ndo huwa namtibia kama wewe..!!Utachoka bure dada, humu kuna ID ambazo hazina cha kupoteza, yaani kama ni majibizano Utachoka tu
😹😹😹 Hiyo lini hiyooooMkuu , Mimi napenda sana mambo ya hovyo ningekuwa najifanya naakili au nataka kuonekana na akili usingenikuta kwenye nyuzi za hovyo na kuwatag watu wa hovyo
Nawasikitikia sana member wanaoniona nina akili , Mimi najiona bado kufika levo hiyo na bado mdogo kuwa hivyo na ndio kwanza nimemaliza shule mwaka huu.
Kuna kipindi mods walinifuata PM wakanionya watanifutia "verified badge" kisa tabia zangu za hovyo sistahili kuwa 'verified member' na nadhalilisha blue tick maana nilikuwa hadi natukanana na members matusi mazito sometimes.
Uzuri wangu Mimi najijua ni kijana wa hovyo najitahidi kubadilika ila naenda kwa steps bila kufeki , ubaya ningekuwa wa hovyo halafu sijijui na najiona Genius hiyo ndio mbaya .
Asante kwa maoni yako
Kapagawa haoni pa kushika 😹😹😂😂😂 Jamanii nini hiki sasa?? Khaah
Wewe ni da Mau bana, li mwandiko lako kama bata hulioni? 😹😹😹leo dada hata wewe unasema mie sijui naitwa da mau??
Ndio nani??
Halafu mwenzako kinamuuma anachanganyikiwa akiona tunahongwa na yeye anahonga lazima akili isome .
YEye ni head offficer wa jamii forum ni yeye akubali hatima yako hukuhii ni maajabu
😹😹😹 Kila mtu timu yangu, wewe yako ipi?Bikra unayoo timu ya bidada
Mwenzio anazoazoa vibabu vinavyojinyea na wewe unataka kuungana naye? 😹😹😹Hayo yote tuachane nayo tu deal na kusaka mabwana wenye pesa, tujuwe kuwapagawisha watoe sasampa
Da Mau hiki kinge umekitoa wapi ikiwa kiswahili kinakushinda kutype? 😹😹😹adriz uhali gani ??
Jana uliropoka sana sijui sina akili kosa sijui ni id ya dada maua sijui halafu huyo dada ni mimi kwa hiyo ulijua tu mimi hamnazo.
Firstly , unanijua vizuri umenionea wapi .
Secondly, mf.nikachukua hiki ulichokiandika nikapeleka mahakamani ukiweke ushahidi kuwa mimi nikichaa unayo makaratasi ??
Sema tu ...
Mimi sijawahi kukufuata nakukuonyesha nakutaka hapana .
Jingine wewe ndio mazoea umeyaanza kwangu nikashangaa ila nikaona ngojaa niitikie basi.
Wewe ni mjinga kwanini unahangaika na maisha yamtu humjui halafu mbaya zaidi unahangaika na mwanamke hadi picha umetoa eti ni mimi nafanana na huyo baba what are you implying??
Chakushangaza sijakufuata umenifuata wewe halafu unaongea wewe na kichaa wa humu mimi ninachoshangaa nimekuwa treated to all of stupid people in here including you.
Acha mazoea basi kaa kimya usiendele na ujinadi unanimudu .
Wafuate walionaakili ambao unawajua .
Kwa sasa jione unaright but tomorrow nitahitaji ushahidi kwa hili.
Yamekukuta leo 😹😹Mimi nikitaka bikira wewe inakudhuru wapi?
Subiri wasiotaka bikira wapo wengi sana watakuchukua tuu usijali.
Mtazamo wako unakudhuru vipi wewe. Kwani unanijua? Unakupunguzia kipato? Unakupunguziwa nini hasa?
Huyu angejua tunalichokoza makusudi kupoteza muda lingetulia.!! 😹😹😹Salama Dada sijui wewe , hili gazeti lako kimenichekesha sana , I find this amusing 😂
Jf ni sehemu ya mizaha ukichukulia seriazi kila kitu hapa Jf utajitafutia stress za bure , binafsi siwezi kuchukulia personal mambo ya fake ID kiasi cha kuumizwa sana mpaka Kuja na povu kiasi hiki ulichotoa. Na ukichunguza post zangu nyingi za mizaha sikuwa siriazi
Je , kwa nini nimekuwa nakuletea mizaha wewe humu Jf nowadays ?
Ukiwa mhalifu kuwa na kumbukumbu, unakumbuka uliniletea mizaha tena kwenye Imani yangu binafsi uliniTag na kuniMock nikakausha bila kukujibu , Sasa kwa nini nimeanza kukutania wewe kidogo tu unakuja na gazeti
VAR
Haya sio masihara uliyoniletea eti nikabatizwe , unajua ulinikwaza kiasi gani nikakupuuza ?
Hapa nilikuwa sikujui na sina matani na wewe
View attachment 3704051
Nikisema niwe seriazi na wewe Kukumock kama ninavyodili na Manyangwisi wakina Maghayo loose Nut si utaniona mbaya kabisa maana nakuwa mkatili siwi simple hata kidogo .
Bahati nawaheshimu sana Wanawake, misimamo wangu sipendi ugomvi ، mizozo na kuwadhalilisha Wanawake ila ulivyoAttack Mimi personal na Imani yangu ingekuwa Mwanaume ingekuwa tayari nishafungulia Ballistic missiles zangu kama mvua vile
Hili ni tangazo lililokaa kinamna flani hiviNakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here .
Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ......
Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare nilikuwa na kiburi cha pesa.
nadhani ningekubali kwa raha zile saizi ningekuwa dubai nakunywa chai ya waarabu ..
Mzee ni handsome rangi ya chocolate tajiri anaendesha vogue acha tu mara ingine na mmisi dady maana ni mtu mzee sana 55 .
Aliniacha maana alinipenda kwa sharti moja niwe mke wake nasio mchepuko . Na mmisigi hatari ....
Nimewahi pendwa ila huyu ni kiboko naisi hata kama ninaye hamzidi huyuu kwa kunijali.
Alinipenda sana . Mmewahi lala sehemu hadi unakataa kuamka ili usiondoke.
I miss u my love my only love sweety one
Dia mi sizoi vibabu vinavyojinyea!!!!!!Mwenzio anazoazoa vibabu vinavyojinyea na wewe unataka kuungana naye? 😹😹😹
😹😹😹 Ndo vibabu vya da Mau sasa..!!Dia mi sizoi vibabu vinavyojinyea!!!!!!
Mi age ya vibabu vyangu ni kama kina p funky hivi.
🏃Hayo yote tuachane nayo tu deal na kusaka mabwana wenye pesa, tujuwe kuwapagawisha watoe sasampa
Anko una hela, mambo ya ziko benki hatutaki, watu wanataka sasampa🤣Am here Babe
Ai misi yu 😍
🏃Sasa mtu ana sasampa nguvu za kiume za nini mie akinipapasa tu kwishaa cha muhimu hela inanitunza
Anko tunaisubiri ujibu shambulizi, hamna kukimbia🤣adriz uhali gani ??
Jana uliropoka sana sijui sina akili kosa sijui ni id ya dada maua sijui halafu huyo dada ni mimi kwa hiyo ulijua tu mimi hamnazo.
Firstly , unanijua vizuri umenionea wapi .
Secondly, mf.nikachukua hiki ulichokiandika nikapeleka mahakamani ukiweke ushahidi kuwa mimi nikichaa unayo makaratasi ??
Sema tu ...
Mimi sijawahi kukufuata nakukuonyesha nakutaka hapana .
Jingine wewe ndio mazoea umeyaanza kwangu nikashangaa ila nikaona ngojaa niitikie basi.
Wewe ni mjinga kwanini unahangaika na maisha yamtu humjui halafu mbaya zaidi unahangaika na mwanamke hadi picha umetoa eti ni mimi nafanana na huyo baba what are you implying??
Chakushangaza sijakufuata umenifuata wewe halafu unaongea wewe na kichaa wa humu mimi ninachoshangaa nimekuwa treated to all of stupid people in here including you.
Acha mazoea basi kaa kimya usiendele na ujinadi unanimudu .
Wafuate walionaakili ambao unawajua .
Kwa sasa jione unaright but tomorrow nitahitaji ushahidi kwa hili.
Mwana filosofi kayakanyaga , atakufungulia Uzi wiki hii nzima hakubaligi kushindwa🤣Wewe ndio haupo sawa wewe huwaga unaona wenzako sio watu ni low class au hawafai kuwa hai wewe ndio unafaa eti bikra ni lazima kwani hadi sasa upo na wangapi hawana na unawahonga
Nakazia lakini sihusiki kwenye ugomvi wenu🏃Mimi nikitaka bikira wewe inakudhuru wapi?
Subiri wasiotaka bikira wapo wengi sana watakuchukua tuu usijali.
Mtazamo wako unakudhuru vipi wewe. Kwani unanijua? Unakupunguzia kipato? Unakupunguziwa nini hasa?