Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Mpenzi wa zamani (My LOVE)

Salama Dada sijui wewe , hili gazeti lako kimenichekesha sana , I find this amusing 😂

Jf ni sehemu ya mizaha ukichukulia seriazi kila kitu hapa Jf utajitafutia stress za bure , binafsi siwezi kuchukulia personal mambo ya fake ID kiasi cha kuumizwa sana mpaka Kuja na povu kiasi hiki ulichotoa. Na ukichunguza post zangu nyingi za mizaha sikuwa siriazi

Je , kwa nini nimekuwa nakuletea mizaha wewe humu Jf nowadays ?

Ukiwa mhalifu kuwa na kumbukumbu, unakumbuka uliniletea mizaha tena kwenye Imani yangu binafsi uliniTag na kuniMock nikakausha bila kukujibu , Sasa kwa nini nimeanza kukutania wewe kidogo tu unakuja na gazeti

VAR

Haya sio masihara uliyoniletea eti nikabatizwe , unajua ulinikwaza kiasi gani nikakupuuza ?

Hapa nilikuwa sikujui na sina matani na wewe

View attachment 3704051

Nikisema niwe seriazi na wewe Kukumock kama ninavyodili na Manyangwisi wakina Maghayo loose Nut si utaniona mbaya kabisa maana nakuwa mkatili siwi simple hata kidogo .

Bahati nawaheshimu sana Wanawake, misimamo wangu sipendi ugomvi ، mizozo na kuwadhalilisha Wanawake ila ulivyoAttack Mimi personal na Imani yangu ingekuwa Mwanaume ingekuwa tayari nishafungulia Ballistic missiles zangu kama mvua vile
Mambo ni haya ✌️ tu, bhaassshhh kwishaaaaaaaa
 
Sijasema unichukue kwa ziki gani niliyonayo nikukubali hahaaa humu mnaona watu wanAshida ya wanaume eh . Ukibakia wewe tu duniani watu wengi watabakia single kwanza huna hela pili unaringa sana .
Kwa mwanamke anayejitambua kukubalia ndoto
Hana hela. 🤣 Nimecheka mpaka basi, mtibeli kayavagaa🤣🤣🏃
 
😹😹😹 Sijui leo dawa kanywa au ndo bado kaamua kuisambaza mifugo yake..!!
Una Manisha huyu ana ...........................
, lamomy kama umeona mwenzako ana matatizo si umuelekeze kwa mwamposa akapigwe hela ya maji ya upako, ndio tunakomoana hivo mjini siku hizi🤣
 
Hana hela. 🤣 Nimecheka mpaka basi, mtibeli kayavagaa🤣🤣🏃
Nawewe eti umesema nitangazo la biashara aisee vaa viat vyangu rejea post zenu wenyewe watu wanaomba misaada wananjaa na niwanaume wengine ni mashoga humu ili wapate unafuu wa maisha .

Kwanza humu wanaume wamezidi kuwa omba omba hawana hela wananjaa .....
Hadi aibu huyo naye hakuwa na hela alikuwa ananjaa tu dogo janja
 
Unajua nilikua sija kupata vizuri mwanza sasa ndio nimekupata uko sawa mkuu sawa kabisa huna shida yoyote mkuu, nimekukubali mkuu salute sana💯
 
Tangazo la biashara ee kwani nani anahela humu hadi aninunue akili yako ni ya kimaskini kwanza unanuksi
😂😂😂😂😂 Nuksi nimezipata baada ya kusoma huu Uzi wako wa Tangazo la kimkakati.
Kweli nnaakili ya kimaskini Wala sikatai ila ndy hvy nature imekataa nisiwe maskini licha ya kuwa na akili yangu ya kimaskini.
 
Da Mau kumbe kabla ya kujiita Unique flower ulikua unaitwa “I’m new here?” 😹😹

Da Mau sasa hivi muda wa kufanya ibada umri umekutupa mkono achana na pirika za kudanga wababu..!!

Najua hapa umeshusha nyavu 😹
Na nyavu zake zishaninasa,ni location tu!!
 
😂😂😂😂😂 Nuksi nimezipata baada ya kusoma huu Uzi wako wa Tangazo la kimkakati.
Kweli nnaakili ya kimaskini Wala sikatai ila ndy hvy nature imekataa nisiwe maskini licha ya kuwa na akili yangu ya kimaskini.
Tofauti ya hili tangazo na zile mlizozioea ni hivi naongea uhalisia .
Kama ni tangazo la kumpata hawara basi nitongoze wewe kama nitakujibu na kuku reply hebu test uone .
 
Hili ni Tangazo naombeni lilipiwe kama vip,Ingawa mapokeo yamekuwa tofauti sasa. hapa Design WA Tangazo ajipange upya aje tutampokea piah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom