mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

Wanaume hawakurupukag kuoa ôvyo,ivo ktufikiliwa kuolewa lazima uwe na sifa za kuitwa mke,huko mpnz anaumwa unaona lufuta matapish roho inakutoka lakini vyake km hela za saloon unavipenda,hakika hyo ndoa utaisikilizia kwa wenzio,hata ningekua mim hakika ckuoi
.....so wanaolizwa hawana sifa?
 
Hahahahaha, bora nisitii neno hapa.
 
Inaonesha jinsi kina dada wasivyojithamini siku hizi. acha mwanaume akutafute na usimfunulie chochote mwambie hadi siku ya harusi
true hataki aache
 
Hiyo miiko ni ipi sasa?
Doh! Hii shule haina kuhitimu.

Naomba kujua mipaka yake tafadhali nicje kuingia cha kiume

Ni mengi ya kuandika kuhusu...

Labda kama mtapata muda someni hii makala iliyowahi kuwekwa kwenye mtandao pacha wa JF...(FikraPevu), ingawaje imejikita zaidi kwenye ndoa.

Kwanini wanawake wanaamua kubaki na waume wanaosaliti mahusiano ya ndoa? | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

Labda kwa kuongezea:
Kwanza lazima tutambue kila mahusiano huwa na malengo kwa wahusika...
Wapo ambao nia yao huwa ni kufikia ndoa na wengine ni kwa ajili ya kuondoa tu upweke..
Katika mahusiano ya mapenzi ambayo hupelekea ndoa, kila hatua moja ni msingi wa hatua inayofuata...
Msingi ulio imara siku zote ndio utakaobeba nyumba iliyo imara na yenye kudumu muda mrefu...

Ndoa inawapatia wanandoa uhalali kiimani, kimila na kisheria wa kuishi kinyumba, kuzaa na kulea watoto, kutunzana, kupendana kwa kiwango cha juu na pia kuhudumiana.
Ndoa ni ahadi, siyo tu baina ya wanandoa bali hata na jamii yote inayowazunguka, kwa vizazi vilivyopita na vizazi ambavyo havijazaliwa...
Sasa jambo pekee ambalo wapenzi wengi ambao bado hawajafikia kwenye daraja la ndoa huwa wanakosea, ni kutaka kuishi na kufanya kama wanandoa wafanyavyo.
Husahau kuwa ndoa ni kiapo au mkataba (haupaswi kuvunjwa) lakini mapenzi ni mwanzo tu wa kuelekea ndoa (yanaweza vunjika)...au kwa kifupi hukiuka miiko ya mahusiano
 
wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
Labda alikuwa anaumwa hajiwezi kabisa. Khaaaaaaaaa!
 
Videmu vya siku hizi bana vimejaa ubinafsi tu na roho mbaya.Mapenzi yenyewe havijui kazi kuchonga ndinga tu.Pambav
 
smile..
Umegusa wengi.
Mimi pia nikiwa mmoja wa watu ambao walijitoa sanaaa ila kwangu it was ok,i just cant stand my friends or relative anahitaji msaada then nikae pembeni au kuna deal flani niwe na roho ya korosho nisimshtue
i treated him like that and ikaongezeka because i saw the future with him;trust me hadi leo huwa nikitoa msaada nakumbuka machungu ya kutendwa vibayaaa!(i know wengine watasema kutoa ni moyo:yes,ila when its with someone that you trully love,expecting gratitude sio mbaya)

Going an extra mile for someone that you love ni rahisi sana,ila kuna saa nadhani tunavuka mipaka(sijui ni ipi exactly but we do)
Unapojitoa,people take you for granted
utampa mtu business ideas,cash,mtambulishe hata kwa your great great grandma, but at the end of the day fanya kwakuwa it makes you happy and ukiangalia you wont regret.
personally kuna vitu i do regret doing(though sikuwahi kuwa maza house) na kuna vitu i dont,naona kama ni rafiki ambae we couldnt get along,thats it.
We do learn from mistakes
 
pole tracy ni maisha tu ...ila inauma sana...usirudie tena
 
Hahahaha...hujawasikia TFDA, shauri yako utaiharibu papuchi hiyo!!

shukrani kwa link ...nakuaminia kwa busara..nataka tuanzishe biashara ya ubuyu
 
Back
Top Bottom