mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
usinikumbushe kuna siku mpenzi wangu alitapika nikadeki najuuuta mpaka kaburini
 
mi naona jiachie tu wala usijibane bane. unaloweza mfanyia mpenzi wako fanya usiloweza acha. au sio Smile!!!
 
Last edited by a moderator:
Hilo la kununulia wazazi vitu, mbona linaisha baada ya ndoa?
Mimi nafikiri kinadada msitumie nguvu nyingi kutafuta ndoa; tena nina imani mkijipendekeeeza sana basi mnaboa na wanaume wanapoteza ile excitement ya kuhangaika kuwakeep.

If you make yourself too cheap na easy basi mtatumiwa na kuwa dumped at the end. nakumbuka mtoto wa uncle wangu alivyoihangaikia ndoa hadi unamuonea huruma kwakweli; ingawa mwisho wa siku alifanikiwa kuwa Mr. msukuma lakini ndoa haina raha ile ya ndoa, maana bado anahangaika kumkeep mwanaume badala ya kufurahia maisha ya ndoa.

Anyway, toa muda, moyo na mali ambayo haitakuumiza sana incase it didnt work; kikubwa tumia vyote hivyo katika kutafuta furaha zaidi kuliko kupigana kumkeep mwanaume, that way hata akiondoka waweza angalia nyuma na kusema, "lakini l had some funny time".
ungekuwa karibu ningekupa lunch my dear...kweli hakuna haja ya kutumia nguvu...kama ipo ipo tu waswahili wanasema
 
kuna tabia ya vijana tukianza mahusiano mtu unajiachiiiia kwa mwenzako hadi basi
wengine wanatambulishana kwa ukoo mzima ndani na nje ya nchi,wengine wanashare a/c na pwd benk,wanapeana mamilioni ya biashara....kufungua biashara pamoja, wengine wanakuwa na mbwebwe zaidi hadi wanaishi pamoja na kuzaa nk.wengine wanajenga nyumba pamoja yaani kwa kifupi ni full kuaminiana.ila hayo yote hakuna ndoa wala nini!
sisi kunadada ndo usiseme...kufua kila wkend ..kupika kufanya usafi ...kumnunulia jamaa na mama yake nguo kila mwisho wa mwezi .... na mashuka yaani hutuliii...dear dearest kila mahali..hulali kwenu hutembelei ndugu ....huna shost kisa bwana.
sasa timbwili linakuja pale shetani anapofanya mambo yake.....
naombeni tujadili jamani....maana kuna wadada wamekopa ofsini kuwapa wapenzi wao mitaji na mijamaa ikasepa na kuoa watu wengine...!same to wakaka mnasomesha wasichana wakimaliza elimu wanawakimbia...unasomesha mtu mwanao?

kwa kifupi tujadili tuishi vipi kwenye mahusiano?maana wengine tupo kikauzu zaidi hutaki unaacha!

......kuna wakati nilifikiria kuanzisha mada kuhusiana na "nguzo" na "mipaka" ya mapenzi ni ipi?!

Labda hapa naweza pata mwanga...
 
Hilo la kununulia wazazi vitu, mbona linaisha baada ya ndoa?
Mimi nafikiri kinadada msitumie nguvu nyingi kutafuta ndoa; tena nina imani mkijipendekeeeza sana basi mnaboa na wanaume wanapoteza ile excitement ya kuhangaika kuwakeep.

If you make yourself too cheap na easy basi mtatumiwa na kuwa dumped at the end. nakumbuka mtoto wa uncle wangu alivyoihangaikia ndoa hadi unamuonea huruma kwakweli; ingawa mwisho wa siku alifanikiwa kuwa Mr. msukuma lakini ndoa haina raha ile ya ndoa, maana bado anahangaika kumkeep mwanaume badala ya kufurahia maisha ya ndoa.

Anyway, toa muda, moyo na mali ambayo haitakuumiza sana incase it didnt work; kikubwa tumia vyote hivyo katika kutafuta furaha zaidi kuliko kupigana kumkeep mwanaume, that way hata akiondoka waweza angalia nyuma na kusema, "lakini l had some funny time".
dah!! nimekupendaje sist Kaunga. yaani nguvu wanayotumia wadada kutafta ndoa ndio inayowamaliza bila kujijua. kama ipo ipo tu.
 
Last edited by a moderator:
yeah mama umefunguka hasa yalioyopo moyoni mwa wanwake wengi sana, wengi hawataki kusema kwa kuumizwa zaidi si kwa mapenzi ni kwa hasara ya fedha za mitaji na matumizi mengineyo.... kweli inauma hasa kwa mwanamke akimtendea mwanaume, sisi wanume tunafanya kama vile anajpendekeza na si kwa mapenzi.

Nina dada yangu yamemkuta anatamani akodishe watu wakamfanye jamaa yake vibaya, amemuazima mpenzi zaidi ya 4m, jamaa sasa anamkimbia...

Yahitaji kuishi kwa makini sana hasa katika kuweka usawa katika matumizi na mahusiano kwa ujumla!
mpe huyo dada pole sana...kuna watu wanafanya mapenzi kuwa magumu sana..ila sidhani kama ni magumu kiasi hicho
 
......kuna wakati nilifikiria kuanzisha mada kuhusiana na "nguzo" na "mipaka" ya mapenzi ni ipi?!

Labda hapa naweza pata mwanga...
shikamoo mzee mwenzangu...kuna watu wanafanya mahusiano kuwa magumu kama kozi ya kuendesha ndege!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimeshashuhudia watu kama wawili waliwasomesha wachumba wao vyuo na kuhudumia familia zao mwisho wa siku mmoja alishtukia tu binti mjamzito...!!!lol..!!kilimuuma sana aisee na mwingine alishtukia tu ndoa matokeo yake mpaka leo haamini mwanamke yeyote..!!!unajua bora kabla hamjaamua kitu mkae chini mkubaliane kabisa ikiwezekana mwandikiane hata contract,tunawashangaa wazungu wanavyosign prenup sasa ss kinachotushinda ni nini??Au ndo mapenzi upofu...???
mimi hata sielewi ndugu sijui ushamba maana wanaofanya hayo wengi ni wasomi wazuri tu
 
mi naona jiachie tu wala usijibane bane. unaloweza mfanyia mpenzi wako fanya usiloweza acha. au sio Smile!!!

.......Ssshhh! Husninyo Dada zako wakikusikia watakuchapa! Watakwambia hayajakupata weye....

Ila mimi nakuunga mkono, "jiachie wala usijutie".....feelings hizo hazijirudii mara kwa mara 😉
 
Last edited by a moderator:
mi nimesema fanya lile unaloweza kufanya, kwahiyo kama unaweza toa tigo we toa. mapenzi hayana formula.
ahaaaa mi hata kumiminia maji kwenye glass simimini amimine mwenyewe nitamfanyia mume wangu tu kama yupo...hapa ni bila bila ..hutaki unaacha!
 
I wish ningekuwa na jibu la moja kwa moja
Mapenzi nayo yakitawaliwa na hofu ya pesa na mali yanakosa raha.

Labda cha kujiuliza kama kungekuwa na data, ni asilimia ngapi wanalizwa? Na ni asilimia ngapi wanafanikiwa na kuoana?

1. Na ndoa ni nini? (nimeuliza kutokana na kusema kuwa binti anahamia hadi wanazaa, kisheria miezi 6?)
2. Nini kinakupa furaha, makaratasi kwamba wewe ni mke/mme wa ndoa? Au uwepo wa mpenzio?

Sina jibu la moja kwa moja, kuna mtu unamwamini unampa card atm na pasiwedi, anyway, labda hii inkuwa changamoto pale mnapozidiana sana kipato?

Sina jibu, ila kuhofia sana pesa kwenye mapenzi nalo ni tatizo.
 
Huyo demu naye alikuwa kichaa

Mtu anakuomba mabati ndio akuoe? Mtu akiomba chochote kama hongo ya kuoa jua hakuna ndoa hapo

maisha ni haya haya aisee dinia nayo imekaa kitapeli sana...kunajamaa alimwambia demu wake aweke nyumba mbati ili amuoe maana amekwama kwenye bati...mdada akakopa saccos ,benk wapi kuweka msauzi ...mbona kimeingia ndani kitu kingine....mi hata chai simpikii mtu hutaki unaacha!
i
 
Huyo demu naye alikuwa kichaa

Mtu anakuomba mabati ndio akuoe? Mtu akiomba chochote kama hongo ya kuoa jua hakuna ndoa hapo
hatuwezi kumuhukumu alikuwa kichaa au vipi k...si unajua mapenzi na kuaminiana..full kujiachia.wanaotoa tigo je? ili jamaa atulie? kama ni ukichaa mirembe si itakuwa haitoshi?
 
.......Ssshhh! Husninyo Dada zako wakikusikia watakuchapa! Watakwambia hayajakupata weye....

Ila mimi nakuunga mkono, "jiachie wala usijutie".....feelings hizo hazijirudii mara kwa mara 😉

kweli mbu, hivi kama una uwezo wa kumsomesha mpnz wako kwann usifanye hivyo kisa unahofia atakuacha? vipi kama huyo ndie uliepangiwa na mungu!! mi naona tusiishi kwa hofu kwenye mahusiano ila vizuri kuchukua tahadhari. jiachieni jamani na wapenzi wenu. khaaa!!
 
inamaanisha living an ordinary life...lolz!

mmmh. ok; thank you so much Prisoner 46664. what's the latest kutoka idol wako? asubuhi nilisikia mtu anasema wamenyofoa mipira ya hewa aende. lakini nimecheck kwenye net sijaona hilo. any news?
 
Back
Top Bottom