mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
kuna tabia ya vijana tukianza mahusiano mtu unajiachiiiia kwa mwenzako hadi basi
wengine wanatambulishana kwa ukoo mzima ndani na nje ya nchi,wengine wanashare a/c na pwd benk,wanapeana mamilioni ya biashara....kufungua biashara pamoja, wengine wanakuwa na mbwebwe zaidi hadi wanaishi pamoja na kuzaa nk.wengine wanajenga nyumba pamoja yaani kwa kifupi ni full kuaminiana.ila hayo yote hakuna ndoa wala nini!
sisi kunadada ndo usiseme...kufua kila wkend ..kupika kufanya usafi ...kumnunulia jamaa na mama yake nguo kila mwisho wa mwezi .... na mashuka yaani hutuliii...dear dearest kila mahali..hulali kwenu hutembelei ndugu ....huna shost kisa bwana.
sasa timbwili linakuja pale shetani anapofanya mambo yake.....
naombeni tujadili jamani....maana kuna wadada wamekopa ofsini kuwapa wapenzi wao mitaji na mijamaa ikasepa na kuoa watu wengine...!same to wakaka mnasomesha wasichana wakimaliza elimu wanawakimbia...unasomesha mtu mwanao?

kwa kifupi tujadili tuishi vipi kwenye mahusiano?maana wengine tupo kikauzu zaidi hutaki unaacha!
 
^^
Smile
Mi nafikiri kuwa tatizo ni kuwa lazima uchumba au urafiki wa kimapenzi uwe na ukomo.Mjipangie muda
Otherwise mnajuana sana,mnadharauliana na hatimaye mnaachana kwa maumivu.
^^
 
Last edited by a moderator:
sio kwa maumivu tu na hasara juu!

^^
Umeonaee mtu unakaa na mpenzi wako miaka nenda rudi,,eti mnajipanga! Kuzibia riziki wengine,,halafu mnapigana chini mnasahau mlikotoka,,
Time is money!!
Kama hatu-match OFF YOU GO
^^
 
^^
Umeonaee mtu unakaa na mpenzi wako miaka nenda rudi,,eti mnajipanga! Kuzibia riziki wengine,,halafu mnapigana chini mnasahau mlikotoka,,
Time is money!!
Kama hatu-match OFF YOU GO
^^
maisha ni haya haya aisee dinia nayo imekaa kitapeli sana...kunajamaa alimwambia demu wake aweke nyumba mbati ili amuoe maana amekwama kwenye bati...mdada akakopa saccos ,benk wapi kuweka msauzi ...mbona kimeingia ndani kitu kingine....mi hata chai simpikii mtu hutaki unaacha!
i
 
Usidhani hilo ni kwa wanawake tu,,ishawahi kunitokea kumpenda mdada mmoja siku natoka kuwataarifu home kuwaweka sawa wazee wangu NIKAKUTA BINTI AMEOLEWA.
Niliumia muda wangu,nikajilaumu nilivopuuzia walonipenda but kama dua ni mbaya ilijibiwa huko nako hakumaliza mwezi,yupo kwao anauza sura wateja hamna.
UKWELI UNAPOTEA KTK MAPENZI.
Sasa hivi uchumba beyond 8 months
Nakupa nafasi utafute mwingine
^^
 
Smile

Ajali kazini....
 
mimi honestly sijawai kuwa na mchumba...sijawai kumpeleka yoyote home ni mmoja tu tena najuta nilimtambulisha kwa mdogo wangu na sister ila walinibamba nae kona mbaya ikabidi tu niseme ukweli...mi huwa tunakutana kimjini mjini tunaachana kimjini mjini ...mabo ya aibu nitayawezea wapi mie
pole sana mkuu
 
Lol...
Hi Smile

Mimi nadhani tatizo kubwa sana hapa liko kwa totoz,..ni vigumu kama jiwe kwa msichana kuendelea kuwa rafiki yako baada ya kumwagana (sisi wanaume ninaamini tuko tayari kuwa friends wakati wote)..kwa mtazamo wangu kama tumekopeshana mitaji au tunafanya biashara pamoja, tunaweza kutafuta jinsi salama ya kuendelea na hizo shughuli bila kushirikisha mioyo (lol!) au kukwaruzana kwa sababu zisizohusiana na hizo biashara...

Sio rahisi kwenu kama ilivyo kwetu..lakini it is worth it to learn to separate life and love...trust me, they can co-exist.
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya mapenzi yana miiko yake...inapokiukwa ndio majanga hutokea.
 
maisha ni haya haya aisee dinia nayo imekaa kitapeli sana...kunajamaa alimwambia demu wake aweke nyumba mbati ili amuoe maana amekwama kwenye bati...mdada akakopa saccos ,benk wapi kuweka msauzi ...mbona kimeingia ndani kitu kingine....mi hata chai simpikii mtu hutaki unaacha!
i
Nimeshashuhudia watu kama wawili waliwasomesha wachumba wao vyuo na kuhudumia familia zao mwisho wa siku mmoja alishtukia tu binti mjamzito...!!!lol..!!kilimuuma sana aisee na mwingine alishtukia tu ndoa matokeo yake mpaka leo haamini mwanamke yeyote..!!!unajua bora kabla hamjaamua kitu mkae chini mkubaliane kabisa ikiwezekana mwandikiane hata contract,tunawashangaa wazungu wanavyosign prenup sasa ss kinachotushinda ni nini??Au ndo mapenzi upofu...???
 
Ama kweli mkuki kwa Mabuzi kwa binadamu mchungu.
 
wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
 
yeah mama umefunguka hasa yalioyopo moyoni mwa wanwake wengi sana, wengi hawataki kusema kwa kuumizwa zaidi si kwa mapenzi ni kwa hasara ya fedha za mitaji na matumizi mengineyo.... kweli inauma hasa kwa mwanamke akimtendea mwanaume, sisi wanume tunafanya kama vile anajpendekeza na si kwa mapenzi.

Nina dada yangu yamemkuta anatamani akodishe watu wakamfanye jamaa yake vibaya, amemuazima mpenzi zaidi ya 4m, jamaa sasa anamkimbia...

Yahitaji kuishi kwa makini sana hasa katika kuweka usawa katika matumizi na mahusiano kwa ujumla!
 
Hilo la kununulia wazazi vitu, mbona linaisha baada ya ndoa?
Mimi nafikiri kinadada msitumie nguvu nyingi kutafuta ndoa; tena nina imani mkijipendekeeeza sana basi mnaboa na wanaume wanapoteza ile excitement ya kuhangaika kuwakeep.

If you make yourself too cheap na easy basi mtatumiwa na kuwa dumped at the end. nakumbuka mtoto wa uncle wangu alivyoihangaikia ndoa hadi unamuonea huruma kwakweli; ingawa mwisho wa siku alifanikiwa kuwa Mr. msukuma lakini ndoa haina raha ile ya ndoa, maana bado anahangaika kumkeep mwanaume badala ya kufurahia maisha ya ndoa.

Anyway, toa muda, moyo na mali ambayo haitakuumiza sana incase it didnt work; kikubwa tumia vyote hivyo katika kutafuta furaha zaidi kuliko kupigana kumkeep mwanaume, that way hata akiondoka waweza angalia nyuma na kusema, "lakini l had some funny time".
 
najuuta kusoma hii comment huku nakula..
wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
 
Lol...
Hi Smile

Mimi nadhani tatizo kubwa sana hapa liko kwa totoz,..ni vigumu kama jiwe kwa msichana kuendelea kuwa rafiki yako baada ya kumwagana (sisi wanaume ninaamini tuko tayari kuwa friends wakati wote)..kwa mtazamo wangu kama tumekopeshana mitaji au tunafanya biashara pamoja, tunaweza kutafuta jinsi salama ya kuendelea na hizo shughuli bila kushirikisha mioyo (lol!) au kukwaruzana kwa sababu zisizohusiana na hizo biashara...

Sio rahisi kwenu kama ilivyo kwetu..lakini it is worth it to learn to separate life and love...trust me, they can co-exist.

msaada tafadhali Prisoner. bbc anaongea hapa; hili neno (lol!) mnalitumia sana humu. kirefu chake nini hasa. what exactly does it mean?
 
Last edited by a moderator:
Lol...
Hi Smile

Mimi nadhani tatizo kubwa sana hapa liko kwa totoz,..ni vigumu kama jiwe kwa msichana kuendelea kuwa rafiki yako baada ya kumwagana (sisi wanaume ninaamini tuko tayari kuwa friends wakati wote)..kwa mtazamo wangu kama tumekopeshana mitaji au tunafanya biashara pamoja, tunaweza kutafuta jinsi salama ya kuendelea na hizo shughuli bila kushirikisha mioyo (lol!) au kukwaruzana kwa sababu zisizohusiana na hizo biashara...

Sio rahisi kwenu kama ilivyo kwetu..lakini it is worth it to learn to separate life and love...trust me, they can co-exist.
loh umepotea sana ndugu! welcome back!
back to topic sasa kama mnaweza kufungua hadi biashara pamoja na kukopeshana hadi benk kwani mnashindwa nini kuoana! kwanini hicho kipengele kiwe kigumu?.... mi naona mapenzi yawe mapenzi ...kama ni biashara tutafute partners wengine maaana leo tufungue saluni au duka tunasimamia pamoja kesho tuachane una mwanamke mwingine umeoa hii biashara tutafanyeje jamani? kama sio kudhulumiana?
 
Back
Top Bottom