mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

aiseee hii ya kujitoa mwili na roho hadi unakopa bank mkibwagana ni maumivu, mwache mwanaume akope popote maana mkibwagana yeye anabaki pale pale wewe unaangaika. acha kabisa.
 
Mapenzi ni mapenzi haya formula wala mbinu uishi vipi si kwa huduma wala kuaminiana .Mapenzi hayana mwenyewe siri ya moyo aijuane nani.maana hata binafsi unawesa jikana na mwenzio je??? Pendaaaa ukichoka acha labla huduma na utambulisho ndio mtu kilimvutia si mpenzi tuu yakiisha jikateee
 
maisha ni haya haya aisee dinia nayo imekaa kitapeli sana...kunajamaa alimwambia demu wake aweke nyumba mbati ili amuoe maana amekwama kwenye bati...mdada akakopa saccos ,benk wapi kuweka msauzi ...mbona kimeingia ndani kitu kingine....mi hata chai simpikii mtu hutaki unaacha!
i

ukinasa vyema utapika tu...
 
kuna tabia ya vijana tukianza mahusiano mtu unajiachiiiia kwa mwenzako hadi basi
wengine wanatambulishana kwa ukoo mzima ndani na nje ya nchi,wengine wanashare a/c na pwd benk,wanapeana mamilioni ya biashara....kufungua biashara pamoja, wengine wanakuwa na mbwebwe zaidi hadi wanaishi pamoja na kuzaa nk.wengine wanajenga nyumba pamoja yaani kwa kifupi ni full kuaminiana.ila hayo yote hakuna ndoa wala nini!
sisi kunadada ndo usiseme...kufua kila wkend ..kupika kufanya usafi ...kumnunulia jamaa na mama yake nguo kila mwisho wa mwezi .... na mashuka yaani hutuliii...dear dearest kila mahali..hulali kwenu hutembelei ndugu ....huna shost kisa bwana.
sasa timbwili linakuja pale shetani anapofanya mambo yake.....
naombeni tujadili jamani....maana kuna wadada wamekopa ofsini kuwapa wapenzi wao mitaji na mijamaa ikasepa na kuoa watu wengine...!same to wakaka mnasomesha wasichana wakimaliza elimu wanawakimbia...unasomesha mtu mwanao?

kwa kifupi tujadili tuishi vipi kwenye mahusiano?maana wengine tupo kikauzu zaidi hutaki unaacha!

mi naona cha muhimu hapa mpendane mueshimiane na kuwe na mipaka katk mahusiano, hii biashara ya kufuliana hadi nguo mwishoe anawekwa mwingine ndani haipo,mwanaume atoe malengo yake kwa mwanamke na kuyatekeleza.kama ni muoaji utamjua tu kama vipi potezea asikuzibie rizki. na ni bora kubaki single kuliko kutwa kumridhisha mwanaume ambaye hana malengo na wewe,maskini ya mungu unabankrupt acc yako kumbe mwenzio anamlisha mke mwezio majanga haya
 
nilishakoma aisee, duu yaani mtu akajifanya ameacha kazi, basi mimi ikawa full kujitoa kwake kwa hali na mali, kumbe ananing'ong'a tu, akisema anashida unamsaidi na yeye anapeleka kwa mwanamke wake mwingine, siku hizi, ni ukauzu tu, nitumie pesa zako au kila mtu atumie zake bhaaaaaaaaaasss
 
Hapa sijui nisemeje ila unayosema Smile kwa upande mmoja ni kweli na kuna case moja nimeshuhudia watu wamejenga nyumba pamoja ila sasa wakaja wakakosana imekuwa kasheshe kupigiana mahesabu walipaneje?

Ila mi naona hayo ni matokeo ya kukutana wote hampendani sawa..kwamba mmoja yupo kimkakati zaidi (ya ndoa)...

Ndio maana siku zote nasema ni vizuri kuwa wazi toka mwanzo wa mahusiano, nini hasa malengo yenu, kwenye huo uhusiano....muda wa uchumba sioni kama ni issue hasa kama wote mnaheshimu makubaliano yenu na mnapendana kiukweli.

Otherwise, hii habari ya hit and run na huku mnajifanya kuwa na investments za pamoja, haiwezekani
 
Last edited by a moderator:
Katika mahala ambako hapahitaji papara ndio hapa,, kwani km ni mitihani ya darasani watu hufaulu sana lakini hapa panahitaji umakini sana, Ni vyema SHERIA YA NDOA ikafanyiwa mabadiliko iweke ukomo wa uchumba ktk sheria itakayokuwa na kichwa THE LIMITATION OF COURTSHIP PERIOD.
Lakini sheria peke yake haisaidii upande wa ndoa peke yake hata hizo biashara ni lazima ziwe ktk legalposition ili mtu akikiuka makubaliano asi mnashitakaiana,
 
mawazo mazuri, lakini yameaangalia negative tu wakati kuna postive, ni kweli rafiki sio mume au mke, hata urafiki wa jinsia moja unavunjika kwa kitu kidogo hatakama mmekuwa tokea utotoni pamoja mtavurugana, ila kama mtakuwa na malengo ya biashara na mnaweza team up mnafanya ila muwe makubaliano yote mkiona itakuwaje na msipooana biashara itaendelea vip au mtagawana vip.
 
Bado sijapata majibu ya swali la msingi....
- Ni mipaka gani wanatakiwa kuwa nayo walio kwenye mahusiano ya mwanzo(boyfriend/girlfriend), kabla hawajajitambulisha kwa wazazi?
- Je, watu wakishakuwa wachumba, ni ruksa kuwa na plans za maisha yao, kuwa na projects za kibiashara na mengine....? Au plan zenu zinaanza mara tu baada ya ndoa?

Pia nakuwa na wasiwasi hapa, madam Smile;
-Ukisema hata chai huwezi kuchemsha kwa ajili ya mpenzi wako, unamaana hata yeye asikupe zawadi yoyote, si ndio? na asipofanya hivyo utajisikiaje? au haya ni matokeo ya kutendwa huko zamani? just be frank.

Ningependa kujua coz hii mada iko kwenye mstari kabisa watu8 kama unaweza kushare your insight, plz
 
Last edited by a moderator:
nilishakoma aisee, duu yaani mtu akajifanya ameacha kazi, basi mimi ikawa full kujitoa kwake kwa hali na mali, kumbe ananing'ong'a tu, akisema anashida unamsaidi na yeye anapeleka kwa mwanamke wake mwingine, siku hizi, ni ukauzu tu, nitumie pesa zako au kila mtu atumie zake bhaaaaaaaaaasss

Tatizo Ni Kujiachia Hili Ndo Tatzi Ndugu Yangu Sababu Mwanamke Akishapata Bwana Kila Kitu Anamwachia Acha Mambo Ya Mali Chech Katika Swala La Sex Mtu Tangi Ameanza mahusiano yeye kila mwanaume anasex nae jaman hadi ukiwa mzee ushasex na wangap? Na mungu wako utamjibu nn?? Me nadhan anayekupenda atakuja kwenu atafata taratbu atakuoa anayekupenda akupeleki guest house wala room kwake akafanya mtindo mbaya, jaman wanawake jithaminini miili yenu mwanaume awez kukuthamn kama ww ujajithamin, na kuwa makini katika mahusiano chukua muda mwingi kumsoma mwenza wako mpe mitihani mpime kwa kila kipimo hata akishinda bado usichoke utampata aliyemwema, lakini kwa kubadili kama nguo leo umeachana na uyu kesho yule utachakaa jaman, naumia sana nkiona watu wameumizwa lakini sina uwezo wa kuwafanya watu wawe na nafsi kama yangu, namshukuru mungu amenipa imani nna huruma najiulza je ningefanyiwa mimi?? Ukijiulza kabla ujatenda ni vzur.
 
Katika mahala ambako hapahitaji papara ndio hapa,, kwani km ni mitihani ya darasani watu hufaulu sana lakini hapa panahitaji umakini sana, Ni vyema SHERIA YA NDOA ikafanyiwa mabadiliko iweke ukomo wa uchumba ktk sheria itakayokuwa na kichwa THE LIMITATION OF COURTSHIP PERIOD.
Lakini sheria peke yake haisaidii upande wa ndoa peke yake hata hizo biashara ni lazima ziwe ktk legalposition ili mtu akikiuka makubaliano asi mnashitakaiana,

ahhh nifumbue macho, kuna sheria nchi hii ya uchumba?
 
Bado sijapata majibu ya swali la msingi....
- Ni mipaka gani wanatakiwa kuwa nayo walio kwenye mahusiano ya mwanzo(boyfriend/girlfriend), kabla hawajajitambulisha kwa wazazi?
- Je, watu wakishakuwa wachumba, ni ruksa kuwa na plans za maisha yao, kuwa na projects za kibiashara na mengine....? Au plan zenu zinaanza mara tu baada ya ndoa?

Pia nakuwa na wasiwasi hapa, madam Smile;
-Ukisema hata chai huwezi kuchemsha kwa ajili ya mpenzi wako, unamaana hata yeye asikupe zawadi yoyote, si ndio? na asipofanya hivyo utajisikiaje? au haya ni matokeo ya kutendwa huko zamani? just be frank.

Ningependa kujua coz hii mada iko kwenye mstari kabisa watu8 kama unaweza kushare your insight, plz

me naona kufua,sijui kupika chai sio ishu, kuwa na plan sio mbaya lakini kutekeleza plan b4 ya ndoa ni hatari ya kuja mmoja kulia hii inausisha wote baina ya mwanaume na mwanamke, ni vema kutokurupuka kila mmoja ajitunze kabla ya ndoa, tatzo liko hivi mwanaume wakati mwingne anajua huyu kwa ajili ya kumtumia kimwili na si kuoa kisha anaye anayemthamini anajua huyu ni wakuoa lakin wakati mwingne mwanamke anakuwa chanzo cha kuchokwa namanisha anatoa penzi sana b4 ya ndoa hadi jamaa anaona hakuna jipya tena akipata pengne penye msimamo anaoa, jaman tuwe makini, na swala la kumsomesha mtu ni kujitia presha tu lakini kheri umsomeshe akiwa mkeo tayari ikibidi ushampa hata kinda mbili, lakini akiwa bado mchumba au hta mtoto mmoja ujampa hii ni hatari, jamaa mmoja namfahamu alimsomesha mchumba wake udaktari demu alipomaliza katoroka na dokta mwenzie jamaa kabaki analia na hadi leo akisimulia machozi yanamtoka, lakini anakwambia amemsamehe, so hivi ni vitu hatari wapo wenye vifua vya kuvumilia wengne wanaweza hata kuua
 
Last edited by a moderator:
Mume/mke ni jina tu vitendo ndo naona vinakuumiza wewe coz may be hujampata anayekupenda ukamjali au hujui kujali. Kama watu wanapendana inakuuma nini? Et mashosti? kama rafiki zako wamepunguza mda wa kuspend na wewe tulia na wewe utafute wako. Acha majungu!!
 
Keyser Söze;6796289 said:

Haya maneno yanaenda kwa ...............................?:help:
 
me naona kufua,sijui kupika chai sio ishu, kuwa na plan sio mbaya lakini kutekeleza plan b4 ya ndoa ni hatari ya kuja mmoja kulia hii inausisha wote baina ya mwanaume na mwanamke, ni vema kutokurupuka kila mmoja ajitunze kabla ya ndoa, tatzo liko hivi mwanaume wakati mwingne anajua huyu kwa ajili ya kumtumia kimwili na si kuoa kisha anaye anayemthamini anajua huyu ni wakuoa lakin wakati mwingne mwanamke anakuwa chanzo cha kuchokwa namanisha anatoa penzi sana b4 ya ndoa hadi jamaa anaona hakuna jipya tena akipata pengne penye msimamo anaoa, jaman tuwe makini, na swala la kumsomesha mtu ni kujitia presha tu lakini kheri umsomeshe akiwa mkeo tayari ikibidi ushampa hata kinda mbili, lakini akiwa bado mchumba au hta mtoto mmoja ujampa hii ni hatari, jamaa mmoja namfahamu alimsomesha mchumba wake udaktari demu alipomaliza katoroka na dokta mwenzie jamaa kabaki analia na hadi leo akisimulia machozi yanamtoka, lakini anakwambia amemsamehe, so hivi ni vitu hatari wapo wenye vifua vya kuvumilia wengne wanaweza hata kuua

Thanx...
- Kwa hiyo mnaeza kufanyiana mambo ya kawaida kama giving presents, ku-spend for each other na hata kupikiana wakati wa urafiki, sio?
- Na wakati wa uchumba je, hatuwezi kuweka miradi mbalimbali ya maisha na kimaendeleo?...najua kumsomesha mtu wakati huo ni risk lakini kama mtu anapenda na anaona ni vema kumsomesha mtu wakati wa uchumba, is it bad?
 
Back
Top Bottom