grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Poleni kinadada zetu kwa yanayowakuta, mbona kinakaka tumeyazoea.mmh why mkuuu
Heri mkono utoao kuliko mkono upokeao, hiyo ndiyo siri ya kubarikiwa na Mungu.
Poleni kinadada zetu kwa yanayowakuta, mbona kinakaka tumeyazoea.mmh why mkuuu
issue sio kuhofia hela kongosho!hela zipo tu zinapatikana popote.ila kuna sehemu inabidi tutenganishe hivi vitu jamaniI wish ningekuwa na jibu la moja kwa moja
Mapenzi nayo yakitawaliwa na hofu ya pesa na mali yanakosa raha.
Labda cha kujiuliza kama kungekuwa na data, ni asilimia ngapi wanalizwa? Na ni asilimia ngapi wanafanikiwa na kuoana?
1. Na ndoa ni nini? (nimeuliza kutokana na kusema kuwa binti anahamia hadi wanazaa, kisheria miezi 6?)
2. Nini kinakupa furaha, makaratasi kwamba wewe ni mke/mme wa ndoa? Au uwepo wa mpenzio?
Sina jibu la moja kwa moja, kuna mtu unamwamini unampa card atm na pasiwedi, anyway, labda hii inkuwa changamoto pale mnapozidiana sana kipato?
Sina jibu, ila kuhofia sana pesa kwenye mapenzi nalo ni tatizo.
mmh why mkuuu
mpe huyo dada pole sana...kuna watu wanafanya mapenzi kuwa magumu sana..ila sidhani kama ni magumu kiasi hicho
ahaaaa mi hata kumiminia maji kwenye glass simimini amimine mwenyewe nitamfanyia mume wangu tu kama yupo...hapa ni bila bila ..hutaki unaacha!
loh umepotea sana ndugu! welcome back!
back to topic sasa kama mnaweza kufungua hadi biashara pamoja na kukopeshana hadi benk kwani mnashindwa nini kuoana! kwanini hicho kipengele kiwe kigumu?.... mi naona mapenzi yawe mapenzi ...kama ni biashara tutafute partners wengine maaana leo tufungue saluni au duka tunasimamia pamoja kesho tuachane una mwanamke mwingine umeoa hii biashara tutafanyeje jamani? kama sio kudhulumiana?
.......Ssshhh! Husninyo Dada zako wakikusikia watakuchapa! Watakwambia hayajakupata weye....
Ila mimi nakuunga mkono, "jiachie wala usijutie".....feelings hizo hazijirudii mara kwa mara 😉
issue sio kuhofia hela kongosho!hela zipo tu zinapatikana popote.ila kuna sehemu inabidi tutenganishe hivi vitu jamani[/B]
I wish ningekuwa na jibu la moja kwa moja
Mapenzi nayo yakitawaliwa na hofu ya pesa na mali yanakosa raha.
Labda cha kujiuliza kama kungekuwa na data, ni asilimia ngapi wanalizwa? Na ni asilimia ngapi wanafanikiwa na kuoana?
1. Na ndoa ni nini? (nimeuliza kutokana na kusema kuwa binti anahamia hadi wanazaa, kisheria miezi 6?)
2. Nini kinakupa furaha, makaratasi kwamba wewe ni mke/mme wa ndoa? Au uwepo wa mpenzio?
Sina jibu la moja kwa moja, kuna mtu unamwamini unampa card atm na pasiwedi, anyway, labda hii inkuwa changamoto pale mnapozidiana sana kipato?
Sina jibu, ila kuhofia sana pesa kwenye mapenzi nalo ni tatizo.
sijakataa kutoa bwana...hela za kula nini ..kuvaa poa tu hapa nazungumzia kuwa na mipango mikubwa yaani mainvestment yenye risk...Poleni kinadada zetu kwa yanayowakuta, mbona kinakaka tumeyazoea.
Heri mkono utoao kuliko mkono upokeao, hiyo ndiyo siri ya kubarikiwa na Mungu.
kuna cousin wangu mmoja, yaani anaishi na mwanaume mwaka wa 3 sasa; na ni mtafutaji mzuri tu. Anabuy story ya babamkwe ambaye anataka mtoto kwanza ndio aruhusu wafunge ndoa. Nimemwambia atazeekea pale na baadaye atakuja sikia mume katafutiwa mke toka kwao Kanyigo BK. Sielewi at this era mwanaume unapangiwa na mzazi lini na jinsi gani uoe; lakini huwezi jua, huenda ni mkaka mwenyewe anasingizia baba yake. Anyway, nafikir inabidi kumfungua macho mdogo wangu ajue jinsi gani anapoteza ujana wake kwa huyo mkaka; ila kama anaenjoy hiyo arrangement it is up to her
kwim kwi kwi kwi kwi kwi kwi nimecheka sana hii jamaa anatawazwa na mavi ya mtu mzima yanavyonuka sasawengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
so wewe hapo unaweza kuingia benk ukachukua mkopo ukafungua biashara na zombie?Kutenganishanisha vitu maana yake kuna hofu
Sisemi kuwa ni vibaya, ila inaweza kuleta tension kati ya wapenzi
Na hii huwa ishu kama mnatofautiana kipato sana, ila kama mnalingana kipato hakuna hofu ya mmoja kumtumia mwezie
Ndio maana matajiri wana hizo prenup arrangements
usinikumbushe kuna siku mpenzi wangu alitapika nikadeki najuuuta mpaka kaburini
Investment kubwa kubwa kwa mchumba tu!!!! Ukiona hivyo mmoja wapo hapo anaforce mahusiano kwa vitu.sijakataa kutoa bwana...hela za kula nini ..kuvaa poa tu hapa nazungumzia kuwa na mipango mikubwa yaani mainvestment yenye risk...
dah sikutaka ku comment ila umenifanya ni comment mana hayo maneno hapo kwenye red nimeyasikia asubuh kwenye misa.Poleni kinadada zetu kwa yanayowakuta, mbona kinakaka tumeyazoea.
Heri mkono utoao kuliko mkono upokeao, hiyo ndiyo siri ya kubarikiwa na Mungu.
Ubarikiwe sana na Bwana wetu Yesu Kristo, unasalia kanisa gani aisee na mimi nianze kusali misa ya asubuhi. Mimi mwenzio misa huwa nasali nikiwa garini hasa baada ya kukoswa koswa na madaladala.dah sikutaka ku comment ila umenifanya ni comment mana hayo maneno hapo kwenye red nimeyasikia asubuh kwenye misa.
kila mahusiano yana malengo yake sio ....unaweza kuishi bila malengo? issue sio kuweka expectation ... naturaly malengo yanakufanya kuexpect something mmmh!Hilo ni neno...ila me naona ushauri ni kua ukiwa ktk mahusiano dont put too much expectation ktk ndoa,do it for funy km alivokwisha kusema mtu hapoawali,mfano mtu unampenzi wako anaumwa ushndwe kwenda hata kumuona na kumuhudumia vitu vdogo kisa unaona km utakua umefanya too much kisa c mumeo me huo naona ni uuaji,maana hata kama jamaa anawaza ndoa hakika hawezi kfikilia kukuoa,kikubwa ukiwa ktk mahursianô ucweke wazô la ndoa kwanza maana utaumia, tegemea lolote na kwa mdada ucombe kuôlewa subiryeye ndô a pôp the questîôn