mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????

Kweli au unanogesha Jukwaa tuu?
Katika Dunia yetu hii hii ya Tanzania au ughaibuni mkuu?
Wonders shall never end...!
 
Kwa jamii zetu za Kiafrika, wahanga wakubwa wa kadhia zitokanazo na mahusiano ya kimapenzi huwa ni wanawake...

Binafsi huwa siwalaumu wala kuwakebehi kwa kuwa natambua chanzo haswa huwa ni sisi WANAUME...

Mara zote mwanzo wa mapenzi hufuata sheria moja tu, nayo ni kuwinda na kuwindwa (yaani kuna Prey na Predator)...

Sasa siku zote huwa wanasema, "ukitaka kula nyama basi chagua ile iliyonona"...hili sisi WANAUME tunalijua na ndio njia ambayo huwa tunaitumia...

Wanawake labda sijui kwa kukosa maadili wamekuwa wenye kupandwa na tamaa mioyoni mwao na kujipendekeza kwa wawindaji sisi. (Hivi mshawahi kuona Swala anachagua aliwe na Simba yupi? :becky:, Swala akiona Simba huwa anatimua mbio hata kama Simba huyo ni mgonjwa au yupo kwenye safari zake)...

Nasi pasipo hiyana, huwa twajitwalia mawindo hayo na kuyatafuna hadi haja zetu zinapotimia, na mizoga yake kuwaachia Fisi na Vultures...
 
ahahaaa yaani papuchi zitapaukaje? ngoja nipake nazi aiseee

Smile. eeeee!!! Kiufupi hayamambo kanuni hayanaga . Magumu kuliko rocket science. On this topic I can write a book of 100pages nd the story won't come to an end.
 
Kweli au unanogesha Jukwaa tuu?
Katika Dunia yetu hii hii ya Tanzania au ughaibuni mkuu?
Wonders shall never end...!
tanzania dar es salaam hapo kigamboni feri ,nimeshuhudia kwa chabo mkuu ndio mambo ya ta hayo
 
Smile. eeeee!!! Kiufupi hayamambo kanuni hayanaga . Magumu kuliko rocket science. On this topic I can write a book of 100pages nd the story won't come to an end.
kuna watu wanafanya mahusiano kuwa magumu kuliko kozi ya kuendesha ndege rafiki...
 
kwani ubuyu au nazi ni nini/ si natural tu?

Ni natural kwa misingi kuwa hayajawekwa kemikali nyinginezo...lakini sio kwamba hayana kemikali asilia.
Uke nao umeumbwa natural kwa namna yake...una uwezo wa kujiswafi, kutuna/kuvimba pale unapojaa damu wakati hashki ikipanda pia kujipa joto sahihi wakati wa mgegedo.
 
I trust zombie my eyes closed, ni next of keen in most of my properties
Mie bwana pesa makaratasi hasara roho

Warning: He earned the trust, sio hivihivi tu

cc Kaunga

so wewe hapo unaweza kuingia benk ukachukua mkopo ukafungua biashara na zombie?
 
Last edited by a moderator:
kuna maplayer, kuna wasiokuwa na tabia nzuri kiasi hauwezi kumkeep mbeleni lakini pia kuna tamaa za vitu hasa kwa madada.. ila kama unahitaji ndoa endelea kuomba ipo siku utampata aliye wa kweli na ukimwona wmenye uwezo wa kuishi kwenye ushelisheli
 
Ni natural kwa misingi kuwa hayajawekwa kemikali nyinginezo...lakini sio kwamba hayana kemikali asilia.
Uke nao umeumbwa natural kwa namna yake...una uwezo wa kujiswafi, kutuna/kuvimba pale unapojaa damu wakati hashki ikipanda pia kujipa joto sahihi wakati wa mgegedo.
sidhani kama kuna ubaya kuipaka mafuta
 
Hilo la kununulia wazazi vitu, mbona linaisha baada ya ndoa?
Mimi nafikiri kinadada msitumie nguvu nyingi kutafuta ndoa; tena nina imani mkijipendekeeeza sana basi mnaboa na wanaume wanapoteza ile excitement ya kuhangaika kuwakeep.

If you make yourself too cheap na easy basi mtatumiwa na kuwa dumped at the end. nakumbuka mtoto wa uncle wangu alivyoihangaikia ndoa hadi unamuonea huruma kwakweli; ingawa mwisho wa siku alifanikiwa kuwa Mr. msukuma lakini ndoa haina raha ile ya ndoa, maana bado anahangaika kumkeep mwanaume badala ya kufurahia maisha ya ndoa.

Anyway, toa muda, moyo na mali ambayo haitakuumiza sana incase it didnt work; kikubwa tumia vyote hivyo katika kutafuta furaha zaidi kuliko kupigana kumkeep mwanaume, that way hata akiondoka waweza angalia nyuma na kusema, "lakini l had some funny time".

Hapo nilipo-bold kuna ambao wanaamini maisha ni kuwa na mume au mke hasa kwa kuonyesha na wewe una mtu wakati ukweli ni kwamba wakati mwingine watu wanatakiwa wawe kiuhalisia zaidi ili mwanaume afanye majukumu yake na mke afanye majukumu yake kwani lengo kuu ya yote tunayofanya katika dunia hii ni kutafuta furaha. Mtu unatumia nguvu nyingi kum-retain mtu matokeo yake unazeeka kabla ya muda wakati inatakiwa sometime na wewe utingishe kiberiti kuona reaction yake
 
Smile uko wapi nikutafute.. manake mimi ni kauzu zaidi yako.......
 
Last edited by a moderator:
Smile unaonekana una Stress nyingi sana Wanaume wamekusababishia maishani..

Sometimes kwenye maisha tunafanya vinavyotupa furaha wakati huo sio kwa sababu ya kupata kitu in return..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom