mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

Ubarikiwe sana na Bwana wetu Yesu Kristo, unasalia kanisa gani aisee na mimi nianze kusali misa ya asubuhi. Mimi mwenzio misa huwa nasali nikiwa garini hasa baada ya kukoswa koswa na madaladala.
amina......nasali kupitia radio maria 103.7fm kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu ingawa siku nyingine misa inaanza saa moja kasoro robo asubuh...
 
loh umepotea sana ndugu! welcome back!
back to topic sasa kama mnaweza kufungua hadi biashara pamoja na kukopeshana hadi benk kwani mnashindwa nini kuoana! kwanini hicho kipengele kiwe kigumu?.... mi naona mapenzi yawe mapenzi ...kama ni biashara tutafute partners wengine maaana leo tufungue saluni au duka tunasimamia pamoja kesho tuachane una mwanamke mwingine umeoa hii biashara tutafanyeje jamani? kama sio kudhulumiana?

Thanks!mambo ya ujio wa Obama kidogo...lol

Unajua Smile, si kila mpenzi uliyewahi kuwa naye unaweza kufungua naye biashara (utakubali)...wengine ni terrible people kwenye mambo ya maendeleo lakini they are honey-sweet kwenye yale mambo mengine,,au sio?!?..kwa hivo mpaka kumpata huyo mtu ambaye mnaweza kuwa na mahusiano ya kibiashara na kuaminiana ujue umetafuta sana, na una bahati 🙂smiling🙂...

Kutooana kunaweza kuwa kwa sababu nyingi ambazo ni za kimahusiano na zaidi..mfano jamaa amegundua kwamba wewe ni rahisi sana kupandwa hasira,una wivu kupitiliza au labda zamani ulikuwa mwembamba lakini saa hii umeongezeka na huoni haja ya kupungua pamoja na kuwa amekuambia sana...mind you, hizo sababu zote bado haziathiri uwezo wako wa kuleta ideas za biashara...so there is still every reason to keep you...kitakachokusumbua hapo ni wivu tu, ikiwa huwezi kukutana naye kibiashara wakati totoz mpya ikiwepo..utakuwa una wivu tu..wazungu wanasema MOVE ON!!!..kama vipi na wewe mringishie wako uliye naye sasa lakini business stays!!....
 
Last edited by a moderator:
amina......nasali kupitia radio maria 103.7fm kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu ingawa siku nyingine misa inaanza saa moja kasoro robo asubuh...
Waweja sana Mayooooo.
 
mmmh. ok; thank you so much Prisoner 46664. what's the latest kutoka idol wako? asubuhi nilisikia mtu anasema wamenyofoa mipira ya hewa aende. lakini nimecheck kwenye net sijaona hilo. any news?

Not very sure ma man,sources za habari nyingi na zinachanganya...let us give room to the will of God.
But dead or alive..he will still remain one of the biggest and truest political personas this continent was blessed with.
 
wengine mpaka wanawatawadha mavi jianaume zima hahahaha ile chabo sintakaa nisahau yule dada alivyokuwa anamchamba yule mwanaume na jianaume limenyanyua kinyeo.mwanao huyo ?????
kwi kwi kwi ha ha ha haaaaaahaaaaaaaa nimeshindwa kuvumilia looh jamani, sasa wewe uliwezaje kuvumilia harufu ya haja kubwa hadi kushuhudia mtu na meno yake 32 anachambishwa haahaaahaaaaaaaa kha!! dunia ina mambo, au alikuwa mgonjwa labda yule ambae hajiwezi au alikuwa mlemavu wa mikono yote daaah....................................
 
Thanks!mambo ya ujio wa Obama kidogo...lol

Unajua Smile, si kila mpenzi uliyewahi kuwa naye unaweza kufungua naye biashara (utakubali)...wengine ni terrible people kwenye mambo ya maendeleo lakini they are honey-sweet kwenye yale mambo mengine,,au sio?!?..kwa hivo mpaka kumpata huyo mtu ambaye mnaweza kuwa na mahusiano ya kibiashara na kuaminiana ujue umetafuta sana, na una bahati 🙂smiling🙂...

Kutooana kunaweza kuwa kwa sababu nyingi ambazo ni za kimahusiano na zaidi..mfano jamaa amegundua kwamba wewe ni rahisi sana kupandwa hasira,una wivu kupitiliza au labda zamani ulikuwa mwembamba lakini saa hii umeongezeka na huoni haja ya kupungua pamoja na kuwa amekuambia sana...mind you, hizo sababu zote bado haziathiri uwezo wako wa kuleta ideas za biashara...so there is still every reason to keep you...kitakachokusumbua hapo ni wivu tu, ikiwa huwezi kukutana naye kibiashara wakati totoz mpya ikiwepo..utakuwa una wivu tu..wazungu wanasema MOVE ON!!!..kama vipi na wewe mringishie wako uliye naye sasa lakini business stays!!....
business with my x??????
mi siwezi kamwe... wala sitokaa nimshauri mtu yeyote...mapenzi yabaki kuwa mapenzi tu..tukishindwana tubaki tukitibu mioyo na sio kuachiana hasara na madeni mmeku!
 
kwi kwi kwi ha ha ha haaaaaahaaaaaaaa nimeshindwa kuvumilia looh jamani, sasa wewe uliwezaje kuvumilia harufu ya haja kubwa hadi kushuhudia mtu na meno yake 32 anachambishwa haahaaahaaaaaaaa kha!! dunia ina mambo, au alikuwa mgonjwa labda yule ambae hajiwezi au alikuwa mlemavu wa mikono yote daaah....................................
hakuwa mgonjwa ni watu wa tanga huko hehehe kiukweli ugonjwa wangu ni chabo napenda sana.sasa usiniulize nilionaje ila nilishindwa kujizuia nikaangua kicheko mpaka wakashtukia wakarudishia mlango hahahahahah
 
......ukishajua utofauti baina ya 'feelings' na 'emotions,' na ukafanikiwa ku balance hayo katika mahusiano, kidogo suala la kujutia "kutoa-ulichonacho" linapungua.

...... Smile, wewe ndiwe dereva wa nafsi yako kukabiliana na (mfano) - njaa, hasira, woga, kiu, wivu, raha, uchungu, hamu, "hamu," nk-.... Usijutie sana matokeo yalotokana na maamuzi yako....

Ulisafisha matapishi kwa nia njema tu 😉
 
haya mambo ya kupenda too much haya mzee mwenzangu..mi nimekoma siku hizi...nipo nipo tu wacha iwe mbaya
 
hakuwa mgonjwa ni watu wa tanga huko hehehe kiukweli ugonjwa wangu ni chabo napenda sana.sasa usiniulize nilionaje ila nilishindwa kujizuia nikaangua kicheko mpaka wakashtukia wakarudishia mlango hahahahahah
mapenzi magumu aiseee kuchambana wima ptuuuuuuuuuu!
 
business with my x??????
mi siwezi kamwe... wala sitokaa nimshauri mtu yeyote...mapenzi yabaki kuwa mapenzi tu..tukishindwana tubaki tukitibu mioyo na sio kuachiana hasara na madeni mmeku!

...kunkeeyo lawe...waka n'waka miaka myoose...lol
Sasa jamaa anakukaribisha kwenye opportunities za kutosha, labda uwezo wako ulikuwa ni kufanya biashara locally tu..anakupeleka kwenye international arena ambapo you stand to win BIG!!..kwanini uruhusu moyo tu, mapenzi tu yakunyime achievements za namna hiyo Smile?
 
Last edited by a moderator:
mapenzi magumu aiseee kuchambana wima ptuuuuuuuuuu!
mtoto wangu mwenyewe mavi yananipa shida ndio mtoto wa mwanamke mwingine ee mungu nikwepeshe na kadhia hii naweza ambiwa nilipenda pesa sina mapenzi ya kweli kumbe nina 100% kinyaaa llol
 
...kunkeeyo lawe...waka n'waka miaka myoose...lol
Sasa jamaa anakukaribisha kwenye opportunities za kutosha, labda uwezo wako ulikuwa ni kufanya biashara locally tu..anakupeleka kwenye international arena ambapo you stand to win BIG!!..kwanini uruhusu moyo tu, mapenzi tu yakunyime achievements za namna hiyo Smile?
bora kufa maskini ndugu yangu sina moyo huo...
 
kila mahusiano yana malengo yake sio ....unaweza kuishi bila malengo? issue sio kuweka expectation ... naturaly malengo yanakufanya kuexpect something mmmh!
Wanaume hawakurupukag kuoa ôvyo,ivo ktufikiliwa kuolewa lazima uwe na sifa za kuitwa mke,huko mpnz anaumwa unaona lufuta matapish roho inakutoka lakini vyake km hela za saloon unavipenda,hakika hyo ndoa utaisikilizia kwa wenzio,hata ningekua mim hakika ckuoi
 
Inaonesha jinsi kina dada wasivyojithamini siku hizi. acha mwanaume akutafute na usimfunulie chochote mwambie hadi siku ya harusi
 
mimi honestly sijawai kuwa na mchumba...sijawai kumpeleka yoyote home ni mmoja tu tena najuta nilimtambulisha kwa mdogo wangu na sister ila walinibamba nae kona mbaya ikabidi tu niseme ukweli...mi huwa tunakutana kimjini mjini tunaachana kimjini mjini ...mabo ya aibu nitayawezea wapi mie
pole sana mkuu

Ooohoo!!!
Kwahiyo!?
 
Back
Top Bottom