‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Mpemba si Hasano0?
Mbona watu mnahoji hamuoni kwenye uzi?
 
Ahaaaa hapa unatuambia jambo jingine pengine bila kufahamu, au umesahau au unachoma utambi

Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na Mkuu mmoja wa mkoa kujenga Hospitali na si ndio wanaosaidia kujenga jengo la dini moja chini ya mkuu huyo?
Au nitakuwa nimechanganya mambo!!!
Hawa watu wanadhani watanganyika wote ni wapumbavu....wanaweza kuwageuza vyovyote wanavyotaka
 
Hivi wote hawa hawaielewi hii unayoiita thread yako bado huoni kama Ina walakini? Samahani lakini kwa vile thread ni yako, hata Mimi naungana na wenzangu yaani nimeirudia rudia sijaambua chochote nimeamua
Hamjamuelewa huyu Lengo la hii thread sio kuzungumzia habari za Mpemba lengo ni kumtukuza mtukufu kuwa amefanyakazi nzuri kwakumtumbua DCI
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Acha mapovu
 
Tatizo la huyo jamaa amejipachika cheo cha usemaji wa Magufuli...so anaweza kusema chochote ilimradi aonekane.. .hii ndio gharama ya Rais kuwa MTU wa uteuzi so kila MTU anatamani kuteuliwa
Siyo msemaji ni promota wa Magufuli anajezi tatu anabadilika kulingana na aina ya kiongozi aliyepo madarakani ilimradi asife njaa
 
<<< DIWANI athumani Alikuwa Anafanya KAZI kama ENZI za JAKAYA hivi hawa WATENDAJI WA serikali HAWAJAELEWA TU huu UTAWALA ???>>>
 
Ahaaaa hapa unatuambia jambo jingine pengine bila kufahamu, au umesahau au unachoma utambi

Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na Mkuu mmoja wa mkoa kujenga Hospitali na si ndio wanaosaidia kujenga jengo la dini moja chini ya mkuu huyo?
Au nitakuwa nimechanganya mambo!!!
Hakuna jambo nililoandika bila kufahamu.

GSM kujenga jengo la dini moja ina uhusiano gani na thread yangu?

My friend, Corporation is an independent legal entity that is separate from the people who own, control and manage it.
 
Umesikitisha sana kwa kutojibu hoja za thread uliyoanzisha na kuishia kutoa mapovu tu. Sio ungepumzika tu kuliko kusumbua attentions za watu.
Busara ungejibu kama ulivyoulizwa
 
Hakuna jambo nililoandika bila kufahamu.

GSM kujenga jengo la dini moja ina uhusiano gani na thread yangu?

My friend, Corporation is an independent legal entity that is separate from the people who own, control and manage it.
Ok , hoja yako ni kuhusu home shopping uliosema 'wamejfilisi' na kuibuka kama GSM
Hapa ulikuwa unaonyesha kuwa zama hizi hazina masihara kwa mantiki ya bandiko lako

Ndipo nikauliza hawa GSM si ndio wanashirikiana na mkuu wa mkoa kujenga hospitali?
Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na mkuu wa mkoa kujenga jengo la dini moja?

Kwa jibu lako umetuondoa hofu kuwa Home shopping ndio GSM. Na ni kweli kuwa corp ni independent entity that is separate to people who own, control and manage it kwa mujibu wako ambao sina tatizo nao

Tatizo langu ni hapa unapojaribu kuwaondoa Home shopiing ambao ni GSM kwa mujibu wako katika mahusiano na serikali. Kumbuka mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa Seriali katika ngazi ya mkoa

Hapa ndipo kuna tatizo kwamba hawa unaosema 'walijfilisi' kumbe wanakuja na gia nyingine halafu wanashirikisha viongozi wa serikali, na kisha unatuambia zama hazina masihara! ati?

Uhusiano wa GSM, Mkuu wa mkoa, hospitali na jengo la dini ni dhahiri na hapa mkuu wa mkoa ndiye '' subject matter''

Msemajiukweli ametuambia ushiriki wa mkuu wa mkoa! kumbe majengo yote yawe ya dini au hospitali yanatokana na shughuli zisizo na ithbati katika uhalali the least to say

Mkuu wa mkoa matatani, na nilisema msemjiukweli inawezeakana alisahau!

Mkuu wa mkoa Homeshoping, GSM, Jengo la dini, jingo la hospitali! kuna neno hapa waungwana.

Hili tulitazame kwa ajicho mujarab, msemajiukweli katueleza kitu
 
Siku hizi kuna mashindano ya kupost thread humu.Maana watu wanakurupuka sana
 
Back
Top Bottom