‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

kwahiyo GSM Washakuwa halali ilhali mnajua kuwa wamejivika ngozi nyingine.Na misaada wanatoa na serikali inaipokea.Ebu nirudishie imani iliyopotea juu ya hii serikali unayoisifu kila kukicha...
Mkuu;
Msaada utaupata kwa wataalam wa corporate law
 
hapa ni kuniacha na kizungumkuti kwa dondoo uliyoimwaga ilhali huna uelewa/ushahidi wa kina wa madai hayo....Sasa kila jambo mnaloleta mkatu assign watu tulifuatilie tutafika kweli?
Mkuu;
Unataka ushahidi upi?

Kama ni kuhusu Home Shopping Centre to GSM Foundation, Mimi sio mtaalam wa masuala ya Corporate law.
 
Kama humfahamu mtu anayejulikana kama ''mpemba'', ingia kwenye mtandao ya NGO zinazopambana na vita vya ujangili wa nyara za serikali au subiri kesi ya ''Malkia wa pembe za ndovu''.

Watanzania wengi ni wagumu sana kubadilika!

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kila siku anawambia wabadilike kwa sababu zama zimebadilika lakini wameziba masikio na hawataki kubadilika.

Ndugu yangu Diwani Athumani alikuwa anadhani ni zama zileee ambazo unaweza kuweka uzio kwa sababu ya cheo chako au ukaribu wako na Ikulu na hakuna wa kuhoji kwa nini unaweka uzio .

Huu sio muda wa kukumbatia mitandao ya kijangili na kifisadi. Zama zimebadilika sana.

Kwa nini baadhi ya watu hawajifunzi kwa Home Shopping Center ambayo baada ya kunusa hatari iliyoko mbele wakaamua kujifilisi kisheria na kuibuka huku wamevaa ngozi nyingine kibiashara inayoitwa GSM Foundation.

Rais Magufuli kila mara anawaambia kama unafahamu ulikuwa unatenda dhambi za kisiasa na kiuchumi. Huu ni muda wa kutubu na kuachana na dhambi hizo.

Vita vya nyara za serikali imemuondoa Diwani Athumani.

Kuna wengine bado wako mbioni kusombwa na mafuriko.
Umeweka hekaya na udaku hakuna facts!! Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai kaingiaje? Jibu hoja kwa mifano hai usiwe too general!!
 
Mkuu;
Unataka ushahidi upi?

Kama ni kuhusu Home Shopping Centre to GSM Foundation, Mimi sio mtaalam wa masuala ya Corporate law.
Basi usingeuweka kama sehemu ya mfano wako kwenye hii mada,Tambua hii ni open forum chochote utakachoweka tunahaki ya kuhoji....Binafsi sina ufahamu sana wa huo ''uchakaramu'' uliofanywa wa HSC-GSM wakati unaonekana kufahamika..
 
Siku nyingine mkuu jifunze kuoanisha kichwa cha habari na maelezo yake.
 
Magufuli is a no nonsense man... Please msijesema sikuwaambia
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Punguza ukali, umekurupuka Jombaa, we missed thread context.
 
.

Kwa nini baadhi ya watu hawajifunzi kwa Home Shopping Center ambayo baada ya kunusa hatari iliyoko mbele wakaamua kujifilisi kisheria na kuibuka huku wamevaa ngozi nyingine kibiashara inayoitwa GSM Foundation.
Ahaaaa hapa unatuambia jambo jingine pengine bila kufahamu, au umesahau au unachoma utambi

Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na Mkuu mmoja wa mkoa kujenga Hospitali na si ndio wanaosaidia kujenga jengo la dini moja chini ya mkuu huyo?
Au nitakuwa nimechanganya mambo!!!
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Hivi wote hawa hawaielewi hii unayoiita thread yako bado huoni kama Ina walakini? Samahani lakini kwa vile thread ni yako, hata Mimi naungana na wenzangu yaani nimeirudia rudia sijaambua chochote nimeamua
 
Sasa ulitaka niweke maoni yako?

Kwani wewe umebadilika?

Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.

Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.

Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.

Taratibu JF zinakutaka . Dare to talk openly sio kuweka kona kona, km unalo desa mwagika. Umevunja utaratibu wa kuwa great thinker.
 
Umezunguka sana Mkuu, wewe kuwa wazi ili wengi wamjue huyo Mpemba kwani hamna siri tena.
Mbona kamutaja kuwa ni Hassanoo, katibu wa zamani wa Simba. Na kuwa alifikishwa mahakama ya Kisutu mwaka 2012 kwa kesi ya kuuza meno ya tembo Hongkong ya thamani ya zaidi ya billion 1 ya Tshs. Kesi hiyo hadi sasa upelelezi haujaisha na Mpemba anaendelea na biashara yake ya meno.

Muwe mnasoma vizuri thread za watalaamu. Huwa hawasemi direct.
 
Back
Top Bottom