Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Hata kama hii habari ina chembe ya ukweli sijaona mpasuko hapo. Kama kuna kambi inamtaka Slaa na nyingine inamtaka Freeman at the end of the day kura ndizo zitakazoamua. Hakuna mpasuko hapo.

tangu lini chadema wanapigakura kwa issues kama hizi??
 
Kwani kukiwa na Mpasuko ndiyo nini bana? Ni jambo la kawaida tu ila baada ya uchaguzi, wanarudi kuwa kitu kimoja.

Mpasuko siyo jambo baya kabisa duniani. Hata Baba na Mama yako wameungwa kwa Mpasuko, sembuse Chadema?

Kitila usijibu hata neno moja hapa maana utakuwa unamfukuza Kichaa aliyekuchukulia nguo ukioga.

???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Hakuna hata mmoja kati ya wawili wao aliyetangaza kugombea uraisi. Hii ni hoja dhaifu inayolenga kuwapotosha wana jamvi.
 
Hoja hii ilipaswa kuletwa na Kitila mwenyewe au mleta mada alipaswa kutoa ushahidi wa aidha youtube wakati akipresent au hata Audio. Vile vile kwa kuwa Kitila yumo humu athibitishe ili tuanze kujadili kwa mapana.
 
Duh Ben bwanah haya yooote umeandika kwa kuwa mtandao wenu umeguswa eeh.Naona sasa mmetinga Uingereza na Zitto zambia kwa kaunda.Mbowe una kazi huko mbele kukabiliana na hawa vijana.inabidi uanze kujenga ngome vyuo vikuu kwa kutumia mtandao wa watu makini naona kila dalili hawa vijana watakudhalilisha siku za usoni

Halafu ben ni lini utaacha hulka za udikteta na visasi?Huna tofauti na JK kwa visasi na ile sifa nyingine ya sketi.bado mna hasira na mbowe?una kisirani kibaya sana dogo,kaa hata na heche basi muendeleze baraza la vijana.nilitegemea utakuwa arumeru kuongoza red brigade.chadema msipomalizana kisiasa mtamalizana kimahaba huko.msalimieni shemeji yetu haramu juliat shoza na esther bulaya

aje achekwe?sanasana ataipa hii thread jina baya na kutokomea

This is out-rightly uncalled for,unethical n unhealthy for this great forum.....

The epitome of misguided ignorance, and that's why I laugh whenever I see you post the trash you're known to
 
Tuacheni tujenge chama chetu..hatutaki majungu na propaganda kwasasa.
 
Mkuu, ukitaka kunielewa kwenye hiyo POST, basi soma ukiwa umeGEUZA maandishi.

Ndiyo maana nikasema Fighting fire with fire. Unashindwa kuelewa kwa kuniona na mie nachoma nyasi.

Mie si CCM wala Chadema. Nina imani sana na CCM ila ni ile ambayo ITAFUFUKA baada ya kuzikwa na Chadema kwa miaka kadhaa. Ili CCM ife na kuzikwa, lazima kuisaidia Chadema kwa hilo.

Mwisho, hebu soma sahihi yangu chini, ina nia mbaya na chama gani?
rudia tena post yako mkuu, inadhalilisha utu wako!! au wewe ni CCM??
 
Ili Mradi Kitila yupo hapa Jamvini atatueleza kwa kina kama hayo maneno aliyasema na kama alisema ndio hali halisi au yalikuwa maoni yake ,Lakini Mbowe amesikika akisema hatasimama mwaka 2015

Kwa kuwa Kitila Mkumbo ni mtu anayeeleweka na msimamo wake wengi tunaujua! Mleta mada inapaswa athibitishe chanzo cha habari na kwa kuwa amesema yeye alikuwa mmoja wa wanachadema walioongozana na Mkumbo basi atueleze kama alitumwa kutuletea umbea humu jamvini ili kupima upepo unavyokwenda au aseme kama ametumwa na MAGAMBA! Full stop....................
 
This is out-rightly uncalled for,unethical n unhealthy for this great forum.....

The epitome of misguided ignorance, and that's why I laugh whenever I see you post the trash you're known to

Yes get the message,we are not ready for radical leftists.hicho kisirani chako dhidi ya mbowe na akina heche kitazidi kuwagawa.hukai mahali bila matatizo ni mtu wa kupinga wenzako na kwenda kinyume na watu always.dogo you are so bright lakini kisirani chako hicho kitakuumiza wewe mwenyewe na wengineo.Naona mmefanikiwa kumtenga mbowe na vijana wasomi wanalalia upande wenu sasa namuoneo huruma mbowe.ni bora afuate njia ya mbatia tu kuwafukuzia mbali kabla hamjamdhalilisha kwenye uchaguzi na ndiyo maana mnadrag aiingie kwenye kinyang'anyiro.mna mbinu chafu sana
 
KITILA, hii hoja unatakiwa kuikanusha au kuipigia mstari kwa kuwa unahusishwa kutoa
siri za nyumbani kwako hadharani!
Binafsi naamini haya yanaweza kuwa majungu tu kutoka kwa
"WAPENDA MABADILIKO WAPINGA MABADILIKO"
 
Hayo majungu yarudishe huko huko kwa mafisadi walio kosa mtu wa 2015 kila mmoja fisadi. CDM Kuna vichwa vingi mno hatuna haja ya kuanza kufikiria nani kila mmoja anakubalika.
 
Mkuu, ukitaka kunielewa kwenye hiyo POST, basi soma ukiwa umeGEUZA maandishi.

Ndiyo maana nikasema Fighting fire with fire. Unashindwa kuelewa kwa kuniona na mie nachoma nyasi.

Mie si CCM wala Chadema. Nina imani sana na CCM ila ni ile ambayo ITAFUFUKA baada ya kuzikwa na Chadema kwa miaka kadhaa. Ili CCM ife na kuzikwa, lazima kuisaidia Chadema kwa hilo.

Mwisho, hebu soma sahihi yangu chini, ina nia mbaya na chama gani?

aha ha ha!!! siku hizi na ww unanielewa kumbe

I believe in chadema, CCM haitakuja kufufuka, ninachotaka kutoka chadema ni clear and trusted direction,

Asante kwa kuniweka kwenye signature mkuu!!! kumbe ilisomwa??

haya mimi na wewe basi
 
Taarifa za kiintelejensia zinaonyesa kumnyima Zitto kuwa myenyekiti wa CMD wakati anauwezo mkubwa kuliko Mbowe zitaimaliza CHADEMA . HUTAKI UNAACHA
 
Yes get the message,we are not ready for radical leftists.hicho kisirani chako dhidi ya mbowe na akina heche kitazidi kuwagawa.hukai mahali bila matatizo ni mtu wa kupinga wenzako na kwenda kinyume na watu always.dogo you are so bright lakini kisirani chako hicho kitakuumiza wewe mwenyewe na wengineo.Naona mmefanikiwa kumtenga mbowe na vijana wasomi wanalalia upande wenu sasa namuoneo huruma mbowe.ni bora afuate njia ya mbatia tu kuwafukuzia mbali kabla hamjamdhalilisha kwenye uchaguzi na ndiyo maana mnadrag aiingie kwenye kinyang'anyiro.mna mbinu chafu sana

Please be adequately informed that I did these postings without bias.

In addition,cover up your outrageous accusations with an even greater accusation to distract from your previous accusation.
 
Back
Top Bottom